Miaka 50 ya Uhuru na Nembo ya Taifa iliyochakachuliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya Uhuru na Nembo ya Taifa iliyochakachuliwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHOST RYDER, Aug 7, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  tanzania_emblem.jpg View attachment 34967 Nembo 3.jpg 306px-Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png


  Nimevutiwa na dukuduku hili nililolifumania jana likitafutiwa ufumbuzi na mamlaka husika bila kupata jibu nikaamua kujaribu kutafuta ukweli wake mwenyewe kwa niliyoyasikia kwa kulinganisha ya ukweli wak ama ni hofu tu kwa mjadala niliousikia.

  Kibo kya ndesi, Huwezi kuamini tunasherehekea miaka 50 ya uhuru na nembo za kutosha tu. Sasa ipi ni ipi, Viongozi wenye mamlaka hili wanalijua zaidi yetu...tuuite uzembe, uchakachuaji , ubadhilifu, uhujumu au kukosa umakini kulikopitiliza kwa wasimamizi wa mamlaka husika.

  Bado nashindwa kujua mintarafu ya huu mkanganyiko, ni kwamba hili limefanyika kwa makusudi, ubunifu wa watanzania au ujanja ujanja ujanja wa kurahisisha mambo, huu ni msalaba mwingine kwa serikali.


  Kibaya nembo zote zinatumika katika machapisho mbalimbali ya serikali hata katika wavuti za ofisi kadhaa za viongozi wa serikali wanaokwenda na nguvu ya kiteknolojia nao kila mmoja katika wavuti ya ofisi yake ana nembo ya aina yake kuanzia ofisi ya Rais, waziri Mkuu hadi mawaziri wengine...Aaah Tanzania.


  Zichunguze kwa makini hizo nembo hapo juu uone watanzania tulipofikia sasa.


  Wabunge huko mjengoni hebu tutafutieni majibu kwa waziri husika, kama hawa jamaa wa jana nilivyokuwa nawasikia wakirushiana mpira na kila mmoja akionekana kushangaa na macho pima kama mjusi aliyebanwa na mwango,


  ADIOS
   
 2. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  namba mbili inaonekana kuwa sahihi kuliko zote, ila namba moja na nne ni wazi zimechakachuliwa sio kabisa, namba tatu pia kuna utata nkumbwa
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Tatizo sio matumizi ya nendo hiyo tatizo nani anadhibiti viwango na ubora [Quality and Standard] haswa kwenye vitu ambavyo ndio alaama ya Taifa kama Nendo na Bendera ya Taifa.Linapaswa kuwa ni jukumu la Serikali kuakikisha na kutamka lasmi kwa kuonyesha na kuthibitisha aina maalumu na muhimu kutumika.

  hAKIKA WAHUSIKA WACHUKU HATUA.Ni sawa na ukimilki gari ukawa unazarau maerekebisho madogomadogo gharama ya kulihudumia kuna siku itakuwa kubwa sana.
   
 4. T

  Tata JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Sasa ndugu yangu unashangaa nini? Uhuru wenyewe tunaousherehekea umechakachuliwa. Nasikia wanasema mpaka kwenye vyombo vya habari kuwa tunaadhimisha uhuru wa TANZANIA wakati wote tunajua kuwa huu ulikuwa ni uhuru wa TANGANYIKA ambayo kwa sasa ni marehemu.
   
 5. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mie mwenyewe naitzama namba mbili kama sahihi zaidi licha ya kuwa sijafanya upembuzi kubaini ni feature zipi zinazounda nembo zetu kwa usahihi

  Kitu ambacho nakiona kwa haraka zaidi katika Nembo hizi natambua kuwa huwa Kuna PAMBA na KARAFU kama mazao wakilishi ya Biashara kwa Tanzania bara na visiwani. Lile logo namba moja lina maua yasiyojulikana ni mmea gani hiyo dosari namba moja,

  Huwezi kuamini hata sijamaliza kupost huu mtazamo hilo Logo namba moja naliona hapa katika Tangazo la Malaria haikubailiki TBC, sasa lenyewe ndio sahihi ama vipi? Lakini mbona karafuu hakuna na Pamba au ndio maboresho ya KERO ZA MUUNGANO????????????
   
 6. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nashangaa hizi logo kamanda, we umezitazama vema?
   
 7. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Na hizi ni ambazo nimeziona haraka kwa kuzilinganisha chache kuna uwezekano kuwa zipo nyingi zaidi ya hizi na zote zinatumika, taratibu zile alama za msingi katika nembo ya Taifa zinatoweka, Uhalisia wake unatoweka.

  Haki ya Mungu tutakuwa na kila kitu artificial katika Taifa hili tusipoangalia kama tulivyo na historia yenye viraka ya uhuru wetu. mambo ya msingi na ya kweli kabisa yamezibwa viraka.
   
 8. B

  Balozi Chriss Senior Member

  #8
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bado ,noti mpya,vitambulisho vya kudumu utaona vitakavyo chakachuliwa
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Aug 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
  tanzaniatanzaniatanzaniatanzania
   
 10. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Makubwa!
   
 11. y

  yaya JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nembo sahihi ni hiyo namba mbili. Kwa bahati mbaya sana nembo namba moja ndiyo inayotumika zaidi katika wizara nyingi. Katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba nyaraka zinazotoka ofisi ya Mchapaji Mkuu wa Serikali tu ndizo zina consistence ya nembo, wanatumia nembo namba mbili. Tembelea duka lao la vitabu pale Jamhuri Str.
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  namba mbili mimi ndiyo niliyo izowea,duu nembo za kichina nyingi sana wakubwa
   
 13. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Great thinking and reasoning!!!
   
 14. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #14
  Aug 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  <br />
  <br />
  Very creative, kudos mkuu
   
 15. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Nauliza hiyo nembo ya tanzania au tanganyika ? Angalia na hizi,ni uchakachuwaji wa kusema tanzania ni serikali ya muungano kumbe ni ya tanganyika. 1613330.jpg View attachment 34995
   
 16. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ... Evidence of how low the Republic of Tanzania has gone .... in terms of Responsiblity and Managment!!

  What you see here ? shows itself in every aspects of Community Developent in our society! ... SHAME!!
   
 17. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Bado hatujapata Majibu Mkuu
   
 18. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Logo namba mbili ambayo haina sifa za kuwa Nembo kama zinavyojionyesha, Adam na Hawa ukipenda kuwaita hivyo bado ni sawa tu au mwanamume na mwanamke wamesimama juu ya Pamba na Karafuu kigezo cha kwanza kabisa.

  Hawa wamesimama juu ya maua.

  Jana nilikuwa mahakamani nashughulikia masuala fulani ya msingi, jalada lilikuwa mbele yangu lina logo coloured nikajenga udadisi kuitazama, hiyo ambayo inaonekana kuwa imeghushiwa ndiyo ambayo ipo katika majalada ya Mahakama pia.

  Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali anawajibika kwa hili asilimia 100

  Niliporudi home kutazama katiba mpya ipo logo hiyo...Hapa kuna haja ya mamlaka husika kulitazama hili kwa kina otherwise sitashangaa siku moja kukuta hao Adam na Hawa ni wachina wapo hapo wala si watanganyika nywele ngumu na bado tutapeta bila shaka na kuitumia kwa nguvu zote kwa namna ambavyo huwa tunaogopa kuhoji mambo.
   
 19. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii ni evolution inatokea kwenye logo yetu bana...!! Sijui ni macho yangu au nini... Hiyo ya nne, wakati wa uhuru watu hawakuwa na caro light! Miaka 50 baada ya uhuru watu wanapaka caro light wametakataaa!!
   
 20. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  :coffee:
   
Loading...