Tatizo ni nini Wabunge kujibu hovyohovyo...?

Hekima Ufunuo

JF-Expert Member
May 28, 2009
220
11
Wabunge wetu kwa siku za karibuni wanaonekana kama wamekosa ustarabu tuliouzoea toka chama kimoja na hatimaye vyama vingi vya (uwoga).

Nimesiikiliza kwa makini mitafaruku ya wabunge wetu mpaka wengine kutolewa nje ya bunge, na pia nimefuatilia matamshi mbalimbali yaliyotolewa na wadau na viongozi wastaafu wakijaribu kuwaasa wabunge wetu.

TATIZO SIYO WABUNGE, NI WENYEVITI PAMOJA NA SIPIKA KUENDESHA CHOMBO KWA UPENDELEO.

wote watakao waasa wabunge wetu, watume ujumbe kwa viongozi vinginevyo tatizo litaendela kubaki.
 
Back
Top Bottom