Tamko la CHADEMA juu ya sakata la mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamko la CHADEMA juu ya sakata la mafuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Aug 10, 2011.

1. w

wimbi la mbele JF-Expert Member

#1
Aug 10, 2011
Joined: Jan 4, 2011
Messages: 647
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
So far hatumwoni wala kumsikia waziri kivuli husika wa CHADEMA juu ya hili sakata la mafuta.
Kulikoni?

2. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#2
Aug 10, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 358
Trophy Points: 180
Chadema huwa wanatumia muda mwingi kwa issues ngumu kueleweka kwa wananchi hili la mafuta waseme nini zaidi wakati issue inajiuza yenyewe.

Don't spend too much time for old customers always look for new ones.

3. VIKWAZO

VIKWAZO JF-Expert Member

#3
Aug 10, 2011
Joined: Apr 9, 2011
Messages: 1,910
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
hii ni issue ya kiutendaji zaidi mimi ningependa kusikia tamko la kujiudhuru NGEREJA kisha KIKWETE na serikali
yake wafanyabiashara wanawatumishia msuli kila kukicha
na wezi wanatembea kibabe mtaani
kuna hadi meya wa jiji la DAR yeye kaenda mbali zaidi na kudai kuna wanaotumi ****** kufikiria
shabashi ina maana muda wote nchi iko chooni? really?

4. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#4
Aug 10, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Nawe hauna tofauti na FF. Tafutaneni mjaji. Nyama ya nyuma wee!!

5. Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati JF-Expert Member

#5
Aug 10, 2011
Joined: Feb 16, 2011
Messages: 2,733
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
January makamba amewawahi jana,magwanda wanajiuliza ilikuaje wakashindwa fikiria kama January!

6. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#6
Aug 10, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 358
Trophy Points: 180
Siku hizi CCM wanakimbilia kumuweka mzee wa watu uchi walianza kwa kutoa barua ya Jairo huoni waisaidia Chadema kalagha baho.

7. MwanaCBE

MwanaCBE JF-Expert Member

#7
Aug 11, 2011
Joined: Sep 23, 2009
Messages: 1,773
Likes Received: 544
Trophy Points: 280

Asante sana mkuu. Haki ya nani nimecheka sana ingawa moyo una majonzi mbaya kwa kuwa mtz.

8. Linyakalumbi

Linyakalumbi JF-Expert Member

#8
Aug 11, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 259
Likes Received: 19
Trophy Points: 35
Tatizo lako unajidai kujua mambo lakini ni zero brain!!!Sikiliza sasa Huyu January alikua mshauri wa Rais JK Uchumi,anajua kila kitu kinachoendelea.Ile hoja hata wangeleta Wazee wa Kazi Chadema magamba wangeitosa tu hasa ukizingatia Job alikalia kiti.Wewe jiulize,Ile miongozi yote minne walisimama wabunge wa Ze magambazi,kama sio chezo ni nini?walitaka tusishangae,tuone kama new issue kumbe walipanga.Lengo wanamtafuta Mtoto wa Mkulima aonekane ameshindwa kusimamia baraza la mawaziri so ajiuzuru!!Lakini Lililowazi Zaidi wewe kipepeo Mlengo wa Kati-January Makamba 'ANAUTAKA UWAZIRI WA NISHATI NA MADINI' Kwa hiyo anajitahidi kadri awezavyo kuonyesha wikinesi za Ngeleja.Kama mimi muongo Follow me through JF tutapata tu Majibu.kumbuka kama M/kiti wa kamati ya Bunge la Magamba alishawishi bajeti igomewe,sasa kuelekea kuisoma tena analeta zengwe la mafuta,Mafuta yenyewe wauzaji ndio wafadhili wenu kwenye kampeni,sasa wewe usiyejua unaona jipyaaaaaaaaaaaaaa kudadeki,wajinga ndio mliwao.

9. Linyakalumbi

Linyakalumbi JF-Expert Member

#9
Aug 11, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 259
Likes Received: 19
Trophy Points: 35
Unajua ukiwa huna data sahihi sio vema kuongea Confidently kiasi hiki.Hivi uliangalia Bunge hiyo jana?Hotuba yake Ya waziri kivuli umeisoma,unajua kilichomo?Kukusaidia we Majambo:Kwanza ameshauri kutenganisha Wizara Nishati peke yake na Madini kivyake,hii itasaidia ufanisi.Ngereja aliisapoti,lakini Magamba tunawajua hii Chungu kumeza kama Quinini.Lakini akiileta January haaaaaa fasta.Lakini Issue ya mafuta hata jana Kasisitiza alichokisema kwenye hotuba yake mbadala nini kifanyike.Ila Baadhi ya Matamshi yake ni haya "Mh. spika serikali dhaifu matokeo yake ndio haya,Yaani serikali inapewa masaa 24,tena na mtu mmoja,mfanyabiashara asiye raia?Hii ni aibu".Serikali ihakikishe mafuta yanauzwa,inajua kila kitu katika hili,Tunamuonea Bure Mh.Ngeleja wakati Vigogo wakubwa wanamkwamisha!Nafikiri umejua sasa nini alisema,sio unakurupuka hapa JF unabonga pumba zako.

10. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#10
Aug 11, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 358
Trophy Points: 180
Asante hata mimi nimemweleza Mlengo wa Noti kuwa ni ujinga kumcheka mzee wako mwenyewe akikaa uchi, eti kwa vile yanaibuliwa na wabunge wa CCM anaona sawa, ujinga ni jaa.

11. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#11
Aug 11, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,329
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
This is another crap!
Yaani ulishawishika na ilani ya ccm ukamchagua JK nae akaunda "serikali" itakayoshughulikia matatizo yako na kukuletea "maendeleo!" Leo huridhiki na utekelezaji wa ulichoahidiwa, unaulizia tamko la cdm. Kwani wao ndio walikuchagulia ccm!? Wao ndio wanaunda serikali? Uliwatosa wakati wa uchaguzi, leo unataka wakutetee/wakusemee?
Hii itakuwa haina tofauti na mwanamke aliyeolewa lakini bado anamtaka mchumba wa zamani aliyemtosa mwenyewe! Upuuzi kabisa....

12. jambo1

jambo1 JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: Jul 5, 2009
Messages: 242
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Samahani..,Hivi magamba wametoa tamko..?

13. Kobello

Kobello JF-Expert Member

#13
Aug 11, 2011
Joined: Feb 20, 2011
Messages: 5,688
Likes Received: 656
Trophy Points: 280
Bahasha la Jairo sio mchezo dah!

14. fikramakini

fikramakini JF-Expert Member

#14
Aug 11, 2011
Joined: Nov 27, 2010
Messages: 247
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Hivi kulikua na issue ya kufikiri hapo? Naona kama iko straight vile

15. fikramakini

fikramakini JF-Expert Member

#15
Aug 11, 2011
Joined: Nov 27, 2010
Messages: 247
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Tupe nchi tuweke utekelezaji mbele maana nyie mmezoea sana hizi ngonjera mnazoziita MATAMKO!

16. t

toxic JF-Expert Member

#16
Aug 11, 2011
Joined: Dec 11, 2010
Messages: 773
Likes Received: 12
Trophy Points: 35

HEKO.

17. n

nyantella JF-Expert Member

#17
Aug 11, 2011
Joined: Dec 17, 2010
Messages: 890
Likes Received: 28
Trophy Points: 45
Mbona issue ya sukari walongea na kuandamana? mbona huuliza hayo maswali? for that matter what is the role of kambi kuu ya upinzani?

18. n

niweze JF-Expert Member

#18
Aug 11, 2011
Joined: Oct 21, 2009
Messages: 1,008
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Tamko la chadema linahitajika hapa kweli? Wanacho demand wananchi ndicho Chadema wana-stand on it

1. Transparency kwenye uuzaji wa mafrta uingizaji wa mafuta Tanzania
2. Kwanini ccm na mafisadi wananufaika kupitia migongo ya wananchi, I am not surprised
3. Umeme unaopatikana sasa hivi kwa mgao unatoka wapi i.e. energy sources please
4. Dowans, Richmond na scandals zote kikwete report yourself to jail kwasababu either unahusika (most likely) au unawakumbatia wahuni wenzio (most likely)
5. What is in your plate kwenye trips za overseas kutafuta mafuta, majeneretas at the same time unakula mafuta ya ndege ya wananchi! Does this make sense Pinda?
19. Mshindo

Mshindo JF-Expert Member

#19
Aug 11, 2011
Joined: Mar 5, 2009
Messages: 479
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
Ukicheza na timu kama barcelona wana option nyingi za kukushinda. "Ukipaki basi" wanakuwekea presha kwenye 18 yako mpaka unajifunga mwenyewe. Hili la January ni offensive goal tu,lakini mechi haijakwisha bado na ball possession ni 80/20 in favor of barca (CDM).

20. k

kasimba123 JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Apr 18, 2010
Messages: 1,318
Likes Received: 188
Trophy Points: 160

Exactly huu ndio ukweli magamba hawataki kuujua na wengineo huyu jamaa alianza kwa kumuandikia barua ngereja ili apate ile kamati baada ya hapo anaangalia kama atapata huo uwaziri hapa Dots zinaunganishika kabisa

Mods kidude cha thx kikowapi

Loading...