Mheshimiwa Zitto Kabwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Zitto Kabwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Feb 9, 2010.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Namnukuu Zitto kutoka huko ughaibuni

  [​IMG]Zitto Zuberi Kabwe to wanabidii


  s

  Naomba nisahihishe tafadhali.

  I am currently writing a PHD proposal and my admission depends on my the submission of it by May 2010 at WHU-Otto Beisheim School of Management. I am not a PHD candidate yet. At the time i am doing a second post graduate on Law and Business at Bucerius Law School in Hamburg and expecting to write on Fiscal stability clauses in mining agreements.

  My PHD proposal so far is on Why Tanzania is yet to benefit from 10 years extraction of its mineral resouresces - testing the backward linakages (energy, transport and agri sectors).
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Sikujua kuwa Mh. Kabwe naye yuko njiani kupata Phd!atapata tu.Hivyo vyuo viwili ni private
  ,vilianzishwa mwaka 2000 na watu wawili named after the colleges.Sio full fledged University,
  Ujerumani kinaitwa Hochscule.Vyuo hivi vinatoa combine masters ya business and law,hivyo
  vinashirikiana.

  Kama Mh atakuwa amemaliza Masters huko,it means alikuwa full time kwa mwaka mmoja,
  sijui wananchi wa kigoma kaskazini wanajua mbunge wao alikuwa full time huko,au akina sam six wanaweza kuruhu serving MP kusoma ujerumani wakati also yuko kwenye kamati
  nyeti za bunge.Ukiangalia hii masters ni mwaka mmoja full time.

  ada ya kusoma (tuition) ni EURO 22000/= kabla ya living costs!Ukiconvert kwa hela ya madafu ni rate ya Tshs 1800 kwa euro ni Tshs 39,600,000/= karibu millioni Tshs 40millioni.

  Ndiyo huyu wabongo ndio tunamwona ni anti -ufisadi,you are jocking!
   
 3. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #3
  Feb 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Who told you Zitto anajilipa mwenyewe?kwa taarifa yako halipi kwa fedha zake za mfukoni..
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  huyu si ndo alikuwa kwenye ile tume ileeee! ameona mikataba haibadilishwi, akaamua kutumia report ya tume kupata PhD sio???? hahahaa
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  loosers!
   
 6. m

  madule Senior Member

  #6
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DAta zako hazina uzito ku justfy ufisadi wake, ww unaona hiyo ada ni sababu ya kuwa fisadi? watanzania wengi wanasoma ughaibuni lakini sio kuwa wanajilipia! bring more data to justfy your statemnt, otherwise una yako binafsi
   
 7. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 909
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 80
  kwa taarifa nilizo nazo huyu Mhe. ni mshauri wa taasisi moja ya Ujerumani kuhusu Uchumi wa afrika.
   
 8. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Madule,usiwe na jazba,sijawahi kusikia selikali inamlipia mtu kusoma katika private college ulaya,ambacho kimeanzishwa mwaka 2000 tu.

  Kwanza ile mantinki ya Zitto kusoma chuo hiki private(also kama atafanya Phd yake hapo)
  wakati kuna vyuo kibao vy serikali Ulaya/Marekani vinaweza kutoa hiyo Masters cheap ,na vinajulikana duniani kote kwa fani ya law na business!
   
 9. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 14,794
  Likes Received: 1,431
  Trophy Points: 280
  Mi naona poa tu! sio mfuasi wa hekima za vitabuni!
   
 10. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hekima zako unazitoa wapi? if I may ask?
   
 11. m

  madule Senior Member

  #11
  Feb 9, 2010
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Okay, Mmakonde kumbe ishu yako ni ubora wa chuo anachosoma na sio walakini juu ya uwezo wake kulipia hiyo gharama? kama ndivo basi yaonyesha unamwonea huruma na hilo ni jema nsa bila shaka una data kamili za ubora wa chuo hicho maana upo huko pia. lakini pia sio lazima serikali imlipie kuna scholarship nyingi ambazo sio serikali ya Tanzania inayolipia.

  PEACE mkuu.
   
 12. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Post zingine hazina mishiko kabisa eti anatoa wapi pesa za kulipia eti kwanini asome chuo cha private na si cha serikali eti kwa vile kaona mikataba haibadilishwi eti anatumia report ya tume kupata Phd please cant you guys leave him alone
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Luteni cool down,hii ni free media sio kama uhuru na mzalendo.hapa tunatoa maoni ,hakuna gagging.Jilulize haya:
  1.huyu ni serving MP,anaruka kusoma ulaya kwa chuo private ,kinatoza millioni 40 kwa mwaka.Bila shaka Kigoma kaskazini kuna kids wanakaa chini darasani!Kama kuna watu wamemponsor (sio govt) unaquestion independence yake,yeye kama mtu nyeti katika kamati ya bunge.je hawa wanaomsponsor ni lobbyists?
  2.je bunge linamruhusu mtu analipwa fortune kuwasilisha wananchi wa kigoma,huku akisoma ulaya at the same time?

  naona hii ni Tanzania tu,hata wapopo hawafanyi haya mambo
   
 14. b

  bigilankana Senior Member

  #14
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Very very interesting. Wenzio wamemchoka Zitto. Wewe huchoki?
   
 15. G

  Gangi Longa Senior Member

  #15
  Feb 9, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Acha wivu kaka! thamani ya elimu hailinganishwi na chochote hapa duniani! kuhusu amepata hela wapi Zitto si mwenzio ana network chungu nzima na through programmes kama African good governance ambazo zina dhaminiwa na fedha ya walipa kodi wa Ujerumani for aspiring future leaders, Mh. Zitto ansoma! sasa kama wao wameona anapaswa kuongeza maarifa we inakuhusu nini? na hao wanajimbo wake mbona hawalalamiki kuhusu yeye kusoma na kuwaacha? Kuwa na mawazo ya maendeleo au endelea kubeba box! Hiyo shule ikiwa imeanzishwa 2000, unajua vyuo vingi Ujerumani vina standards zako zinazopaswa kufuatwa ili kiitwe chuo? Pili niambie ni vyuo vingapi vingi duniani zinatoa kozi on Mineral laws?
   
 16. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  100% asiyefuata hekima za vitabuni ni mfuasi shetani na tena argent kabisa wa pepo na wachawi, hata hivyo wewe ni muongo mashuhuri hakuna mtu duniani ajue kusoma na kuandika harafu asiwe mfuasi wa hekima za vitabuni au bora ungenyoka tu kuwa siyo mfuasi wa Quran na Biblia takatifu, na kinyume cha hapo wewe ni fuasi wa mizimu
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Feb 9, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,523
  Trophy Points: 280
  Kweli Zitto Kabwe ndio kaandika haya au? SMH
   
 18. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hakika umeona mkuu, ukweli ni kwamba, watu wameweka mbele ujima wa mawazo,
  kila mtu ana mahali anapojikuna wengine ukutani, wengine katika jiwe na wengine, kwa kijiti
  tumeruhusu ububu na umbumbumbu wa post
   
 19. M

  Mundu JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kwakuwa lugha hai 'fly', ama? Labda alikuwa na haraka
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Feb 9, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,523
  Trophy Points: 280
  Kaandika yeye au?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...