Shelukindo adhibiwe kulidanganya bunge:

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Haya ni maneno(Maoni) ya muhariri wa gazeti la Rai la leo tarehe 25-31,2011(DEODATUS BALILE)
Namnukuu paragrafu ya mwisho
"Tuseme tu kwamba mambo haya ya funikafunika yana gharama zake mbele ya safari.Iko siku mambo yote yatawekwa hadharani.Lakini kabla ya siku hiyo tunategemea kwamba kama kuna mbunge yeyote mwenye ujasiri awasilishe hoja bungeni ya kumwajibisha Beatrice Shelukindo kwa kusema uwongo bungeni.Nawapiga filimbi lisaidieni bunge letu kuwa lenye kutenda haki na si kumwonea mtu yeyote.Hii ndio rai yetu"


Haya wandugu hayo ndio baadhi tu ya maoni ya muhariri wa gazeti la rai.
 
Back
Top Bottom