Race 2012 Kibaki na Raila wameweza JK anasubiri nini?

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Leo Rais Mwai Kaibaki na Raila Odinga wamekubaliana kuwaondoa mawaziri wanaoonekana kuanza kampeni za urais 2012, ambao wote wanetoke chama cha ODM akiwemo mshakiwa wa ICC Mh William Ruto. Mkuu wa kaya anasubiri nini kwa wote wanaoanza kampeni za 2015? Tanzania tuna safari ndefu.
Nawashilisha

Ooooops sorce: Citizen TV
 
Back
Top Bottom