Wassira kwa ulalaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wassira kwa ulalaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichuguu, Aug 23, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Najua watu walishaongelea topic hii ila nadhani syo vibaya kujikumbusha tena:

  Mwezi mmoja uliopita, Kiongozi huyu alilishambulia gazeti la Mwananchi kuwa ni uchochezi kwa kumpiga yeye picha akiwa amelala. Akadai kuwa siku hiyo alikuwa amekunywa dawa ya mafua
  View attachment 35856

  Hata hivyo, jana tena ameonekana bungeni akiwa amelala.

  wasira akifuatilia.jpg
  Nadhani Mzee wetu Wassira baada ya kulitumikia taifa hili kwa nguvu sana kwa zaidi ya miaka 40, inabidi akubali kuwa nguvu zimekwisha sasa na hivyo anatakaiwa akapumzike Nyambitilwa awaachie uongozi vijana, siyo kweli kuwa vijana wanavuta bangi kama alivyodai
   
 2. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Usingizi mwema Mzee Wasira! huyu mtu amekuwa waziri mdogo miaka 40 leo tunategemea nini kipya kutoka kwake lala tu maana aliyekuweka hapo anatamani ulale hivyohivyo
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Jamani muwe na huruma huyu mzee alisha sema ni mgojwa na posho anazitaka sasa nyie mnataka akalala nyumbani akose posho eboooooooooo....yaani hapa ni sawa na kuwambia Shibuda posho ifutwe.....hahahahahahahahahah
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hivi yule rapper wa Chicago anayejiita Wakazi ni kinda wa Wasira?
   
 5. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nadhani anatumia zile dawa maana yule mwanamke aliye naye anao siku nyingi sana, na mmewe alifariki nao kwa tetesi za redio ugali, maana hata ile rangi yake ya usoni Mzee wetu mhmmm siamini kama ni mzima ukiachiambali tumbo alilofuga kwa kodi na peg za whisky.
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Viongozi wa ki-afrika kundoka kwenye madaraka hadi wapigwe tanganyika jeki.

  Kesho mtamsikia huo ni uchochezi unahatarisha usalama wa taifa.
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Posho za nini sasa mtu analala namna hii. Tanzania nchi ya mazonge
   
 8. chipanga

  chipanga JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 661
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  ...halafu mjanja huyo, eti nadanganyia kwa kushika kalamu kama vile yuko busy anafuatilia mjadala!
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Anatafakari!
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha safari hii atasema swaum ilikuwa kali sana! Daah sasa si kashachakachua tangu siku hizo!akafanye miradi yake makwao aachie dam changa ilijenge taifa!huu ni ulafi sasa lool
   
 11. t

  tweve JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  he ! Mbona na huyo jirani yake naye anakoroma?umri jamani !
   
 12. M

  Masatu JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi wewe Kichuguu una tatizo gani na mzee Wassira? Kwa kuanzisha hii thread unataka kuprove nini hasa?
   
 13. pomo

  pomo JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wangeweka ka utaratibu kwa wanao lala no posho, hapo wote wangekuwa alert
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  wacha yalale tu. Siku tutapozingira hilo bunge na kuanza kutembeza kichapo. Wataamka tu!
   
 15. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Muda wa kupumzika umefika, miaka 40 akiwa kiongozi bado tu? sisi tutakuwa mawaziri lini?
   
 16. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Umekosea kidogo, huyu jamaa siyo wa Nyambitilwa ni wa pale Kabasa Kung'ombe karibu na Manyamanyama. Enzi zile za zamani alikuwa katibu wa TANU wa hicho kijiji cha Kung'ombe!
   
 17. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #17
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Lah! Masatu umetokea wapi tena? Sijakusoma kwa muda mrefu sana nikadhani labda ulisweka kunakohusika; si unaijua tena nchi yetu. well karibu tena JF.

  Swali lako: ninataka kuprove kuwa (a) Wasira Massato (somo yako) amechoka sana. Yeye alidai vijana ni wavuta bangi, lakini inaelekea kuwa yeye ndiye anayezidiwa zaidi na madawa ya mafua. (b) Alifanya makosa kulishambulia gazeti la mwananchi lilipotoa picha yake akiwa amelala, kwani kumbe hiyo ni ada yake.
   
 18. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Kichuguu naona umemrejesha Masatu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee long time.
   
 19. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Angekuwa mbunge wa upinzani, magamba yangeomba mwongozo kwa bikiroboto.
   
 20. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  <br />umeishaambiwa posho ni kwa ajili ya kukalia kiti(seating allowance).ili mradi wakati amelala alikuwa amekali a kiti basi anastah├Čli posho.
  <br />
   
Loading...