Kamwe kwa bunge la kamati kamati hatufiki tunajiongezea umasikini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamwe kwa bunge la kamati kamati hatufiki tunajiongezea umasikini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Aug 24, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu watanzania nimeshangazwa sana na kitendo cha kuundwa kwa kamati ya bunge kuchunguza issue ya JAIRO sababu ninazo na vigezo ninavyo,moja ya sababu ni kuwa bunge ndio lililoibua mjadala huu wa JAIRO kwanini hawakuunda kamati kipindi hicho?pili kamati hii inachunguza swala hilo la JAIRO kwa maslahi gani ya kitaifa zaidi ya maslahi ya watu binafsi ya kisiasa...?Ndugu zangu tukumbuke kuwa kwa mfano mmoja kamati ya kubwa inayojulikana kwa watu wengi iliyochunguza swala la RICHMOND nini mafaniko yake?ndio waziri mkuu alijiudhuru so what?what next?badala yake tumeshuhudia walikuwa vingara wa kusema bungeni wakipewa nyazifa na kukakaa kimya sasa dowans imelipwa na wapo kimya...!KWELI KWELI kama kuna utaratibu wa kuzuia bunge usitishe uundwaji wa kamati hiyo ni bora ufannyike mara moja kabla ya kutumia vibaya pesa za umma...wenye au mwenye hoja na ushahidi wa rushwa juu ya swala hilo ajitokeze hadhalani...na atoe ushahidi kisha taratibu zifuatwe...May I and all real great thinker pray and make a sound for our nation...we re real heading in a cheap popularity kind of politics which is so unproductive.

  Kama bunge halijaridhika basi mkuu wa shughuli za bunge atoe statement....ya ushahidi wa bunge kwa jinsi walivyomtuhumu kwa rushwa then swala lifike hatua za mbele ka kuna rushwa otherwise tunachezea hela za kwa kamati badala ya kujenga zahanati au kubuni miradi midogomodogo ya vijana kuwapatia ajira.

  Thanks.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aisee sijaona nchi inaendeshwa kirafiki rafiki km hii duh!
   
 3. K

  Karry JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  naungana na ww mdau hakuna haja ya kuundwa kwa kamati ni kiini macho na kujaribu kupoza hasira, hiyo kamati haitakuja na jipya la kumzidi CAG na takukuru wenye ushahidi kafungueni kesi mahakamani msimamile pesa zetu kwa kulipana posho
   
 4. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Solution hapa naona ni moja ndugu zangu.PEOPLES POWER NDIO NJIA PEKEE
   
 5. coby

  coby JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Another 1billion contribution to follow for the so said "kamati"
   
 6. r

  raffiki Senior Member

  #6
  Aug 24, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  real men....!this is so shameful to our parliament..!how comes tunakuwa ruled na statements za wanasiasa tu....the kamati staff could have been done on the same day...issue ilipoibuliwa..!kamati mbili kwa swala la kumjadili mtu this is unbeliaveable...,kama wanavyojadili hawa politicians hela imepotea,CAG pia ametumia hela..majibu yamekuja...bunge tena linataka kutumia hela kwa kamati..nakuna ndondo kuwa dodoma wabunge wameshaanza vikumbo vya politics zao wawepo kwenye kamati hiyo...hela tena itumike...kwa faida gani ndugu zangu....let us look forward what so ever happened....maana kamati ikija na mtazamo mwingine itaibuka hoja CAG na luhanjo nao wajiudhuru...kwa hiyo mpira utakuwa hivyo then kamati itaundwa kuwachunguza..what ll we end=up with?am crossing up my finger ili kamati hii isiundwe ni upotevu wa pesa na kutafuta umaarufu wa siasa za mtumbo yao wakati watanzania vijijini na vijana wengi tunaangaika huku mtaani.
   
Loading...