Kura ya kutokuwa na imani na serikali na yatakayofuata.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura ya kutokuwa na imani na serikali na yatakayofuata..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BPM, Aug 24, 2011.

 1. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  naombeni msaada,

  hivi bunge la sasa hivi likipiga kura ya kutokuwa na imani na serikali ya tanzania kutokana na mambo mengi yanayojitokeza kama vile tatizo la umeme, jairo, ngorongoro na mengineyo ..
  na wakafanikiwa kuiondoa serikali madarakani je baada ya kipindi cha mpito
  1. uchaguzi utakuwa kwa ajili ya raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania??? au
  2. pia itahusishwa kuvunjwa kwa serikali ya mapinduzi zanzibar na kufanyika pia uchaguzi wa raisi????
   
Loading...