Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je kuna haja ya kuidowngrade ofisi ya CAG?
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Na Peter Mwenda CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekiri kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma ambao si waaminifu wanaovujisha siri za Serikali.Akizungumza katika mahafali ya 23 ya Chuo cha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa hali ilivyo sasa hivi uteuzi wa uwaziri unafunganishwa na ubunge kwa maana kwamba ili uwe waziri ni lazima uwe mbunge ( i stand to be corrected). Ila kwa mawazo yangu, hii inazuia watu walio...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Mi naona kweli kama ni kupiga kura ya kutokuwa na imani tuanze na bunge letu tukufu lenyewe. Bunge ndilo linalopitisha bajeti, kwa hiyo kama uchumi umedorora ni bunge la kulaumu. Secondly...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Kuna uwezekano wa Tanzania bara kuwa na Uongozi wa Mseto kama wa Tanzania Visiwani kabla ya 2015?Swali hili nawauliza wanaJF kwa kuwa leo nimeshuhudia Wabunge wote wakiunga mkono hoja ya Zitto...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Ndugu zangu, miezi michache iliyopita, ndugu yangu ambaye ni mbunge alinipa taarifa kuwa kuna baadhi ya wabunge waliokuwa wameongwa pesa nyingi kuitetea Dowans na kusaidia kufanikisha uuzwaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar vimekamata shehena ya meno ya Tembo iliyokuwa imefichwa kwenye makontena mawili yaliyokuwa na dagaa katika Bandari ya Zanzibar. Mkuu wa Bandari ya Malindi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa mwenendo nliouona jana bungeni nimeisikitikia sana CCM maana inajichimbia kaburi na kuipandisha CDM kwa mambo ambayo wala DCM hawahitaji kupandishwa kwayo. Mfano:- 1. Lema aliomba mwongozo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika tarifa zilizopo nchi Rais atakuwapo pemba siku mbili kwa safari za kiserekali ,baada ya kufika pemba nimeona katika vyombo vyote na magazeti hapa nchini yanamuonesha wanasalimiana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
*Wadai chanzo ni uchimbaji mafuta mpakani *Yashauriwa leseni itolewe kwa nchi mbili Na Godfrey Ismaely IKIWA imepita miaka kadhaa baada ya Tanzania kuingia vita kati yake na Uganda kwa ajili ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
LAMECK Nchemba Mwigulu (33), ni mmoja wa vijana wanaotarajiwa kuwa hazina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika miaka ijayo. Ni mbunge wa CCM katika jimbo la Iramba Magharibi. Jina la Mwigilu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF heshima kwenu! Kwa jinsi serikali ya JK na ya wana CCM wenziwe inavyofanya mambo, kwa kweli inasikitisha sana, inatia hasira , inatia simanzi. Uswahiba unaimaliza nchi yetu. Hivi ikifika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu nikiwa mdogo nilikuwa nikiambiwa mikoa ya kusini hasa mkoa wa Mtwara ni masikini sana, na kutokana na umasikini huo serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania haiwezi kuendeleza kusini kwa...
1 Reactions
85 Replies
15K Views
Hii ndio Tanzania yetu wana JF! Ujue jana sikuamini nilichokisikia kwa Radio eti Jailo HANA hatia na anarudishwa KAZINI leo hii. Hivi after that report waandishi waliruhusiwa Uliza maswali? Ujue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"...Jairo ambaye yuko chini yake, analazimika kwenda likizo kuanzia juzi ili kupisha uchunguzi wa awali ambao unalenga kubaini iwapo ametenda kosa la kinidhamu kwa mujibu wa sheria zinazoongoza...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Sio tuu kama nimesikitishwa na maamuzi ya serikali kuhusu tuhuma zlizokuwa zikimkabili katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini bwana David Jairo kuhusu kuzitaka secta na makampuni yote yaliyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
• WABUNGE WADAI MSEKWA NI GAMBA JINGINE CCM na Salehe Mohamed, Dodoma MAKADA na wabunge kadhaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatilia shaka uwezo na dhamira za baadhi ya mawaziri katika...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Back
Top Bottom