Wabunge wa CCM ni zecomedy

mpalu

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,521
870
Wabunge wa CCM ni Ze comedy?
Baada ya Mbunge wa Kilindi Chama Cha Magamba (CCM), Beatrice Shellukindo kumtuhum Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo. Bwana jailo alijibu tuhuma hizo kwa kusema "Wabunge wa CCM ni Ze comedy" nao Wabunge hao wa Chama Cha Magamba wakaja juu sana katika kikao chao cha ndani. Jee kunaweza kuwa na ukweli kuwa wabunge wa CCM ni sawa na Ze comedy?
 
Kweli ze comedy kazi yao si kusema ndio na kugonga meza..................
 
Jah hero knew what he was doing and apparently what should come,, let us wait an see this drama,,who will play the end against the midst
 
kweli hao ni mavuvuzera kufikili kwao ni kudogo sana afathali na kichaa siyo wabunge wa ccccccm
 
Masaburi kasema wanafikiria kwa MAKALIO,JAH HERO NAE ANASEMA NI ZE KOMEDY,HAPA PANA UKWELI
 
sijajua kwa nini hawa watu mara ni kama ze komedi, mara masaburi mara............ naomba wajipambanue
 
Mimi naona kuwafananisha Wabunge wa CCM na Ze Commedy ni kuwashushia tu heshima akina Mpoki, Joti na Masanja. Ze Commedy ni wabunifu lakini hawa wabunge wa Magamba wameamua kuzihifadhi akili zao waje kuzitumia wakistahafu. Leo nimemsikia aliyekuwa Jaji mkuu eti akilalamika kwamba alikuwa anapewa amri ahukumu vipi kwenye kesi zake! This is a shame! Huenda nae ndio kwanza ameanza kuzitumia alizokuwa amezipeleka likizo. Kwanini sasa hakukataa wakati ule ule kutumika kwa maslahi ya watu hadi kumfanya kutotenda kazi zake kwa weledi!

Hii ni aina ya Watanzania tulionao leo. Mtu akishastaafu ndio kama anastuka na kuanza kuona mambo aliyopaswa kuyafanyia kazi akiwa madarakani. Tazama Sumaye, tazama Warioba, tazama alkina Jaji Bomani. Wote ni wale wale!
 
kweli it is unfair kuwafananisha wabunge wa ccm na wajasiriamali hawa wa vipaja vya kuigiza. Wenye uwezo mkubwa wa kufikiri zaidi ya wabunge wa ccm wanaodai posho bila hata haya ..huku.., majimbo....?!
 
Siku ya kufa haikwepeki,hiki chama kimefikia mwisho kiko icu kinapumulia mashine,pamoja na barua aliyoionyesha sherukindo na maneno ya waziri mkuu ambaye naamini alijiridhisha kuwa jairo angemfukuza kama angekuwa na mamlaka ya kufanya hivyo,leo hii amesafishwa na kupokewa kwa nderemo na vifijo wizarani na ikulu pia,si hivyo tu bali gari lake limesukumwa na yeye kukumbatiwa na Luhanjo kinyume cha matarajio ya wengi Bunge limechachamaa,HUU NI MTANANGE mwingine vuta ni kuvuta kila mtu anavutia kwake bunge na ikulu tusubiri ombwe jingine la uongozi wa kikwete.
 
Wabunge wa CCM ni Ze comedy?
Baada ya Mbunge wa Kilindi Chama Cha Magamba (CCM), Beatrice Shellukindo kumtuhum Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo. Bwana jailo alijibu tuhuma hizo kwa kusema "Wabunge wa CCM ni Ze comedy" nao Wabunge hao wa Chama Cha Magamba wakaja juu sana katika kikao chao cha ndani. Jee kunaweza kuwa na ukweli kuwa wabunge wa CCM ni sawa na Ze comedy?

Hivi na yule Mayor wa jiji alitoa msamiati gani vile? Ni watu gani wanafikiri kwa kutumia makalio...... Nchi hii tusije tuajikuta woote ni ze comedy na tunatumia nini sijui kufikiri KWA SABABU HAYA MAGAMBA AMBAYO YANATOA ABUSIVE REMARKS ARE NOT BEING DISPLINED! AU TUANZE KUWASHUGHULIKIA WENYEWE, MANATI TU SILAHA TOSHA.
 
Back
Top Bottom