Wakati Bunge likiunda TUME ya kuchunguza sakata la JAIRO

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,546
1,662
Wadau wana wa jamii ningependa kujua wakati Bunge likiunda Tume ya kuchunguza tuhuma za katibu mkuu wa nishati.Je ni lini na sisi wananchi tutaunda tume yetu kwa kuandamana kuwapinga wote wanaopakana mafuta kwa makosa ya waziwazi?
Ningependa kujua hilo ni lini na wapi 2naanzia?
 
Back
Top Bottom