Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!
0 Reactions
63 Replies
7K Views
An oil firm whose chief executive has bankrolled the Conservatives won exclusive rights to trade with Libyan rebels during the conflict, following secret talks involving the British Government...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Inasikitisha sana kuona mbadala wa uongozi wa Chadema Arusha ukipata misukosuko ya kubambikiziwa kesi ya kutishia kufanya mauaji kwa Meya feki wa Arusha.More news to come,lakini yawezekana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika Chadema wamfikisha Mkuchika kwa AG Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Igunga imebeba turufu ya mafisadi na hili lazima walijue au wanalijua. Mafanikio ya CCM Igunga yanaweza kuwasha moto usiozimika wa kushughulikia Ufisadi au matokeo kinyume na ushindi yanaweza kuua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Nova Kambota, Namkumbuka mwanamuziki wa kizazi kipya Seleman Msindi maarufu kama Afande sele na kile kibao chake cha "Darubini kali" anapohoji "kama unapenda pepo kwanini uogope kifo?" Tungo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dunia nzima iko DAEGU , KOREA sisi tuna kila jumuia lakini hatishindi kitu sasa kama hakuna pesa za kuwaandaa wawakilishi wetu huko bas bora wizara ifungwe na kama ikiwa wazi bas tusishindane for...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika mambo ambayo JK ameyaongea vema na kwa uzalendo jana wakati akitoa hotuba katika Baraza la Iddi ni hili la viongozi wa Dini hizi mbili kubwa kutokulumbana wakati wa mchakato wa Katiba mpya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
WanaJF, Salaaam! Jana nilipata fursa ya kusikiliza hotuba ya JK kwenye Baraza la Idd ambapo alitumiwa jukwaa lile kujibu baadhi ya "masuali magumu" ambayo hakika yamekuwa yakifanya liwepo ombwe...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Benki Kuu ya Tanzania imekua ikishirikiana na wafanyabiashara na wanasiasa wachafu katika kuwaingiza nchini wahalifu wa kimataifa na kwa kuanzia tunawafichua sasa wahalifu toka Nigeria waliopata...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
WAKATI vuguvugu la siasa jimboni Igunga mkoani Tabora likiendelea kushika kasi, mgombea ubunge mteule wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Dk. Moses Edward, amejitoa kuwania nafasi hiyo ya ubunge...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kuelekea uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga unaotegemea kufanyika hivi karibuni, kumepelekea kuwepo mikakati mbalimbali inayofanywa na vyama mbalimbali vya siasa katika kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wasalaaam wana JF, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza ni kwanini basi viongozi wetu (Mawaziri,makatibu wakuu wa wizara mbalimbali,wakuu wa mikoa na hata wa wilaya nk.) wamekuwa ni wagumu kwanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za ukweli na si za kuokoteza..jana mara baada ya Waislam kusherehekea sikukuu ya idd kwa Raha kabisa mustareheee..,Wale ndugu zangu wa starehe za kupita kiwango yamewafika. Wadada...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
Mimi naona imefika wakati tuamue moja na kufuta cheo kimoja kati ya makamo wa raisi au waziri mkuu. Sioni mantiki ya kuwa na vyeo vyote hivi kwa wakati mmoja. Naamini kabisa waziri mkuu anaweza...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
kwenye baraza la eid,lakini inaonekana ameandikia kwa sababu anasoma kama risala kwenye karatasi
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Maelezo Mengine Muhimu yaliyokuwepo katika Thread Hii nimeyahamishia katika Attached document ili kutoa urahisi kwa wanaotumia JF Mobile kubrowse kwa urahisi katika michango ya wanaJF DONDOO...
0 Reactions
204 Replies
12K Views
Tumaini Makene na Grace Michael PAMOJA na mkutano wa nne wa Bunge la 10 kumalizika kwa kutimiza moja ya majukumu yake ya kikatiba ya kuisimamia serikali ambapo imeunda kamati teule kufuatilia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua kuna wabunge kadhaa wanatembela a hili jukwaa. Sasa binafsi nina maswali amabyo naamini wakazi wa majimbo wengi wanajiuliza na wangepend kujua majibu. Na wana jf wnaweza kuwa na maswali...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…