Msiba CHADEMA Mwanza

MCHARA

Senior Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
109
Points
195

MCHARA

Senior Member
Joined Jan 15, 2011
109 195
Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!
 

Ame

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2011
Messages
3,375
Points
2,000

Ame

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2011
3,375 2,000
Diwani Manoko wa kata ya Kirumba jijini Mwanza kupitia tiketi ya Chadema kafariki leo katika hospitali ya Bugando wald namba 7 baada ya kuugua kwa muda wa siku 2 kwa ugonjwa wa Pneumonia!
Ee bwana mpe pumziko la milele na mwanga wa milele umwangazie Amina!
 

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Messages
1,776
Points
2,000

MwanaCBE

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2009
1,776 2,000
Poleni sana wafiwa (kama taarifa hii ni ya kweli lakini, kwa sababu haina chanzo), ila kata tutaitetea kama kawa.
 

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,037
Points
1,250

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,037 1,250
Hakika ni msiba mkubwa kwa Wana wa Chadema wa Taifa nzima. Na nasema poleni wana familia kwa pigo kubwa kama hili. MUNGU ATALIZIBA PENGO HILI. (R I P)
 

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Messages
1,025
Points
1,195

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2011
1,025 1,195
Umetimiza Wajibu wako Mpiganaji, Kapumzike kwa Amani. Ulionyesha ukomavu katika mageuzi tokea pale ulipodhibiti ubadhilifu wa Mapato katika Mwalo wa Kirumba Mwaloni chini ya Taasisi ya MWADESO.

Nakumbuka wiki iliyopita nazungumza nawe nikiwa Mwanza ukiwa katika Afya njema kabisa, Mitaa ya Mwanza Hotel wakati tulipogongana Ofisi za Precision Air nikithibitisha safari. Thread hii naitazama kama Ndoto.

Manoko.jpg

Mungu Akulaze Mahala Pema.

Am deeply hurted
 

Forum statistics

Threads 1,358,227
Members 519,261
Posts 33,162,850
Top