Hawa ma-DC kama hawako Kikatiba, budget zao hutoka wapi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Wanajamvi:

Nauliza: hivi hawa ma-DC kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya Katiba, jee Budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi kwa sababu wanaonekana zaidi kufanya kazi za kichama za CCM -- hasa wakati wa chaguzi.

Kuna wengine nasikia wanashughulikia mambo ya uchawi kwa niaba ya CCM, katika maeneo yao!

mimi nasdhani ni qwakati muafaka wa CDM kuwaendea maofisini na kuwatimuwa wote.
 
Gokona

Member
Feb 16, 2010
62
9

Hivi hao ma DC kwa mwezi wanalipwa shilingi ngapi?
 
WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,510
2,395
Ni vyeo na nafasi chache sana vilivyoorodheshwa kwenye katiba yetu. Hata Katibu Mkuu Kiongozi na nguvu zote zile kwa akina Jairo naye hayumo.
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,466
wanajamvi:

Nauliza: Hivi hawa ma-dc kama hawapo kikatiba, yaani kazi zao hazijaorodheshwa ndani ya katiba, jee budget yao na mishahara inatoka wapi? Ni hela za waliopa kodi wote? Nasema hivi kwa sababu wanaonekana zaidi kufanya kazi za kichama za ccm -- hasa wakati wa chaguzi.

Kuna wengine nasikia wanashughulikia mambo ya uchawi kwa niaba ya ccm, katika maeneo yao!

Mimi nasdhani ni qwakati muafaka wa cdm kuwaendea maofisini na kuwatimuwa wote.

ni ofisi ya rais
 
Gokona

Member
Feb 16, 2010
62
9
Mkuu kama aliye na dondoo anijuze hivi hawa Wakuu wa mikoa na wilaya wanapata mshahara kiasi gani kwa mwezi nikimaanisha net na sio gross
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
katibu mkuu wa ccm ndiye anayewachagua wakuu wa wilaya na kumpatia majina hayo Rais. kwahiyo wakuu wa wilaya ni watumishi wa ccm wakiwa chini ya mwavuli wa serikali kwahiyo ccm inatumia pesa za walipa kodi kiaina kuwalipa watumishi wake.mfano mzuri wa hili ni kukamtwa kwa fatma kimario huko Igunga. Jiulizeni siku zote ni vigezo gani vinatumika kuchagua mkuu wa wilaya na nafasi hizi uwa zinaombwa wapi??
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
katibu mkuu wa ccm ndiye anayewachagua wakuu wa wilaya na kumpatia majina hayo Rais. kwahiyo wakuu wa wilaya ni watumishi wa ccm wakiwa chini ya mwavuli wa serikali kwahiyo ccm inatumia pesa za walipa kodi kiaina kuwalipa watumishi wake.mfano mzuri wa hili ni kukamtwa kwa fatma kimario huko Igunga. Jiulizeni siku zote ni vigezo gani vinatumika kuchagua mkuu wa wilaya na nafasi hizi uwa zinaombwa wapi??

Mkuu kwa mujibu wa Katiba kazi za Uwaziri, Ukuu wa Mkoa, Ukuu wa Wilaya, Makatibu wakuu, Wakurugenzi na nyingine lukuki huwa haziombwi na zaidi ya kigezo kuwa Waziri lazima awe MBUNGE hakuna kigezo kingine. Hapa Rais kama atakuwa hana busara anaweza kuwateua hata wadogo zake, wajomba, mabinamu, wajukuu zake, majirani zake, wapiga debe wake, nk.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom