Steven Wassira kaumbuka Igunga

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,157
katika uchaguzi unaoendelea huko igunga leo kuna mwananchi mmoja ameuliza kwanini wachague ccm wakati mbunge wao rostam alijiuzulu kwa kile alichosema ni siasa uchwara ndani ya ccm.Steven wassira instead ya kujibu swali kama lilivyouliza anaanza kusema kuwa yeye kaja kujibia chama na sio rostam.Ameonekana kituko mbele ya jamii ya pale,alitegemewa kuja na majibu sahihi yanayoridhisha kuwa ni kwanini RA alijiuzulu na kujibu hoja kama ni kweli zipo siasa uchwara ndani ya chama?
Nawasilisha
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,298
3,477
khaa hawa CCm wanachezea muda na pesa za walipa kodi huyu wassira muda wa kukaa ofisini kama waziri anaenda kwenye kampeni???
 
Gagnija

Platinum Member
Apr 28, 2006
10,369
6,993
khaa hawa CCm wanachezea muda na pesa za walipa kodi huyu wassira muda wa kukaa ofisini kama waziri anaenda kwenye kampeni???
Na hapa ndipo watanzania tunatakiwa kuamka. Hii kazi ya kunadi chama inalipiwa na serikali. Tufike mahali tuseme hapana kwa upuuzi huu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
1,164
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
 
Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,482
564
ananikumbusha kipindi cha chama kimoja Tuntemeke Sanga alimjubu mpiga kura kuwa kura yake moja tu haitamsaidia
 
bia

JF-Expert Member
Feb 9, 2011
257
29
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
<br />
<br />
Najua wajua ila una tatizo na iman chafu na potofu ambayo kwa tz na dunia hii ya sasa ha2na tena huo mda,kaa chni tafakari na utajirekebisha,al in al,jana wasira na kafumu walipata wakati mgumu cna kujibu maswali magumu ya watz,fuatilia kama unapenda kweli kujua
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,213
22,998
khaa hawa CCm wanachezea muda na pesa za walipa kodi huyu wassira muda wa kukaa ofisini kama waziri anaenda kwenye kampeni???

Yeah...this reminds me. You have got a point lakini tuitazame objectively kidogo.

Nina maswali machache (kuuliza si ujinga)....

1/hivi sheria inasemaje kuhusu civil servant anapokwenda kushiriki mambo ya siasa kama hii ya Wassira &co?
2/inabidi aombe likizo rasmi au?
3/je Wassira aliomba na kupewa likizo rasmi?
4/kama ikigundulika Wassira & co hawakupata hiyo likizo, sheria za kazi zinasemaje? sheria za uchaguzi zinasemaje? na sheria kwa ujumla wake inasemaje?

Kama sheria zetu za sasa hazi-address hayo maswali yangu, then jamani iwe isiwe lazima tupate katiba mpya kabla ya 2015.

Kama sheria zilizopo zinatoa majibu ya maswali yangu, na kama Wassira & co hawakupata likizo rasmi, then:

1/CCM automatically wameshapoteza huu uchaguzi
and
2/Wassira & co must be sacked immediately!
 
Mghaka

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
320
126
Mbona sijaona kitu chochote kinachoonesha kuwa Wassira ameumbuka?
You are on the extreme side of blindly indoctrinated followers of CCM and remain assured you will be the last person to meet and interact with truth. The day when CDM reality will count in your brain it will be the end of your world of reality and false doctrines of people like u.
 
Typical Tz

Member
Sep 13, 2011
45
4
Na hapa ndipo watanzania tunatakiwa kuamka. Hii kazi ya kunadi chama inalipiwa na serikali. Tufike mahali tuseme hapana kwa upuuzi huu.

Chombo kipi kitatusaidia watanzania kwa kauli moja tuseme HAPANA? Maana kila siku rate ya Ahadi za wagombea na Ongezeko la umaskini kwa mtanzania wa kawaida vinakwenda sambamba.
 
Typical Tz

Member
Sep 13, 2011
45
4
Yeah...this reminds me. You have got a point lakini tuitazame objectively kidogo.

Nina maswali machache (kuuliza si ujinga)....

1/hivi sheria inasemaje kuhusu civil servant anapokwenda kushiriki mambo ya siasa kama hii ya Wassira &co?
2/inabidi aombe likizo rasmi au?
3/je Wassira aliomba na kupewa likizo rasmi?
4/kama ikigundulika Wassira & co hawakupata hiyo likizo, sheria za kazi zinasemaje? sheria za uchaguzi zinasemaje? na sheria kwa ujumla wake inasemaje?

Kama sheria zetu za sasa hazi-address hayo maswali yangu, then jamani iwe isiwe lazima tupate katiba mpya kabla ya 2015.

Kama sheria zilizopo zinatoa majibu ya maswali yangu, na kama Wassira & co hawakupata likizo rasmi, then:

1/CCM automatically wameshapoteza huu uchaguzi
and
2/Wassira & co must be sacked immediately!

Tufanye nini watanzania ili huu mchakato wa kuandika KATIBA YE2, utekelezwe mapema ? Kama uhalisia ulivyo viongozi we2 ndio hao wanawaza uchaguzi! hivi tutafika kweli tunakotaka watz kwa aina hii ya viongozi?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom