Jukumu la Kutengeza Fikra za Wanachi Juu Ya Siasa za Taifa ni la Nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukumu la Kutengeza Fikra za Wanachi Juu Ya Siasa za Taifa ni la Nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Sep 17, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Napata shida sana kujua nani ana jukumu la kuwajenga na kuwapa Wananchi [Watanzania] nafasi ya kujua na kupata nafasi ya kuvuna elimu [Knowledge] ya utambuzi wa aina ya siasa zinazoendesha Nchi na Wananchi kujifunza na kujua tofauti zao kisiasa pasipo kuwa na migongano,isiyokuwa na sababu na hivyo kutengeneza Taifa la Wastaraabu wenye kutatua matatizo yao kisaisa kwa misingi ya elimu na ufahamu wa kijamii,na hivyo kuwa na Taifa lenye kuzingatia jukumu na wajibu wa kila raia katika kulinda,kuetetea na kuheshimu nafasi yake,ya jamii na ya vyombo vya jamii na pia vivyo hivyo kwa vyombo aya jamii kujua na kuheshimu haki za msingi za Mwanajamii,Kundi la Jamii na taasisi zingine za kimfumo.

  Kupitia wanaJF naomba kujua ni jukumu la nani la kujenga jamii kuweza kutambua haki zao za kimsingi kisiasa na kimamlaka? Tulipofika kupitia yanayojili igunga naona picha ambayo aliyeiasisi sasa inakula kwake kinyume chake nini?
   
Loading...