Watanzania tunaibiwa fumbueni macho!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania tunaibiwa fumbueni macho!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAROSI, Sep 15, 2011.

 1. KAROSI

  KAROSI New Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka nimesoma historia kwamba babu zetu walipewa nguo, vioo, shanga na pombe wakatoa pembe za ndovu, dhahabu na almasi, leo hii tunapewa neti tunatoa dhahabu ivi kweli serikali yetu kupitia viwanda vyake imeshindwa kutengeneza neti na kuwapa wananchi walau kwa bei nafuu hadi tuombe kwa Bushi kama sio wizi ni nini? Ivi kweli tuendelee kuamini kua aliekua rais wa marekani awamu iliyopita alikuja Tanzania kwa lengo la kutusaidia kutokemeza malaria?
   
 2. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bila shaka tunaibiwa kweli, 'barter trade' tunayoifanya na Bush ni ya kitoto na ya kinyonyaji kwa watanzania. Kwa taarifa zilizopo ni kuwa Bush kapewa machimbo ya madini ya Uranium katika wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma. Pia inasemekana uchimbaji wa madini hayo ulishaanza tokea muda mrefu ingawa wenyewe wanadai bado wanafanya utafiti na kwamba utafiti utamalizika mwaka 2013 ambapo ndio uchimbaji utaanza rasmi. Lakini kwa waliotembelea eneo lile la machimbo ambalo lina ulinzi mkali kupita kiasi, wanadai kila siku mapipa kadhaa yaliyokuwa 'sealed' ya Uranium yanabebwa kutoka katika eneo lile na kupelekwa Marekani moja kwa moja. Tena inasemekana hizo ndege hazitui sehemu yoyote nchini, zinafika kuchukua mzigo huo na kuondoka moja kwa moja kutokea maeneo hayo.

  Kutokana na machimbo hayo, Bush katoa msaada wa kujenga barabara kutoka Songea mjini mpaka Namtumbo huko yaliko hayo machimbo na kutoka Songea mjini mpaka Mbinga, pia katoa msaada wa vyandarua ambavyo tunagaiwa nchi nzima. Kwa muonekano wa haraka ni kama msaada anaoutoa ni mkubwa kuliko anachopata katika machimbo yale hasa ukizingatia kauli za viongozi wetu ambao wanadai uchimbaji haujaanza. Inasemekana eneo hilo lina madini kiasi kikubwa, inashikilia nafasi ya pili kwa ukubwa barani Afrika.

  Suala la kujiuliza;
  1. Bush anapata nini kwa misaada hiyo yote wakati uchimbaji haujaanza??
  2. Barabara anajenga za nini maeneo yale wakati ndio kwanza wapo kwenye utafiti??
  3. Taarifa zilizopo ni kuwa machimbo yale yaligunguliwa tokea enzi za utawala wa Mwl. Nyerere lakini akazuia uchimbaji kuanza ili vizazi vijavyo vije vinufaike na machimbo hayo, inakuaje wanatuambia wanafanya utafiti, tena wa muda mrefu katika machimbo ambayo yaligunduliwa kuwa yana madini??
  4. Kwa taarifa zilizopo pia ni kuwa eneo hilo ni la pili (2) AFRIKA kwa kuwa na madini ya Uranium kwa kiasi kikubwa. Je, msaaada huo unalingana kweli na thamani halisi kwa kipato atakachopata kutokana na mauzo ya madini hayo??
  5. Kama kila siku mapipa yaliyokuwa 'sealed' yanaondolewa katika maeneo yale, tunajuaje kama sio madini yanasafirishwa pale kimya kimya??
  Watanzania tuukatae unyonyaji huu...!?
   
 3. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mkuu achana na hizo neti. dhahabu zimeanza kuchimbwa zaidi ya miaka 15 iliyopita, net zina miaka isiyozidi 5. wapi na wapi. All in all inauma kuona nchi yetu ikikwapuliwa hivi hivi. hivi wadau ni lini tuingie mtaani ili wajue kwamba hizi ishu zinatuuma? yaani mimi hapa sielewe wajukuu zangu watakuja kufaidi nini na haya manyang'au. so sad.
   
 4. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  halafu tunawashangaa wenzetu wa nchi za kiarabu jinsi walivyo matajiri! wao mafuta yaliyo kwenye nchi zao yanawafaidisha wao sie mali zetu za asili tunawaita watu toka nje waje wafaidike nazo sie tunabaki kufurahia vyandarua.mie nawapongeza wananchi wanaovifugia kuku.ndio maana ccm inang'ang'ania madaraka lakini hawajui ndio chuki dhidi yao inavyoongezeka.
   
 5. s

  shreak Member

  #5
  Sep 16, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Kweli ng`ombe wa masikini...........
   
 6. W

  We know next JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tuna laana gani sisi Watanzania jamani? Au tummwombe Malema wa South Africa aje afanye kazi hapa kama consultacy kwa miaka mitano, asafishe kutu hii kali??
   
 7. M

  Ma Tuma Senior Member

  #7
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
 8. M

  Ma Tuma Senior Member

  #8
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  basi angalau angeua mazalia yote ya mbu kuwamaliza kabisa kama jinsi kwao kulivvyo.hata mie ningempa dhahabu.
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona wanawaua pia,mbona hamfumbui macho?
   
 10. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkuu we are good in consultation but implementation zake ndio laana..
   
 12. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  kwa taarifa tu mkuu uranium inayotoka pale ni bora kuliko uranium yeyote duniani na tukizalisha pale tutakuwa nchi ya pili duniani baada ya usa. Lakini kwa vichwa vyetu maji tumezidiwa akili hata na mababu zetu walio ping ukoloni na hata kufa wakizitetea nchi zetu. Jk kaonyesha kiwangop kidogo sana cha kufikiri Mungu atusamehe tulichagua kwa uzuri wa sura na si akili kichwani. Hata sis tunamatatizo upstairs.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  HII NJI INAUWEZO KABISA WA KUGAWA VYANDARUA KILA KAYA KAMA ITAPUNGUZA AU KUONDOA MATUMIZI AMBAYO AMA HAYANA AU SI YA MUHIMU KWA SERIKALI,KWA NJI KAMA HII SION HAJA YA KUWA NA MA_v8 chungu mzima ambayo ni anasa zisizo na maana wala tija,unakuta eti upo daladalani unashangaa mmesmamisha muda mrefu et mnasubiri msururu wa likiongozi limetoka kupewa suti,magari yanatumia mafuta,madereva wanalipwa wapambe usiseme . wanapoteza mda wa raia kwenda kutengeneza hizo hela wanazotafuna bila aibu,i hate this goverment
   
 14. T

  Typical Tz Member

  #14
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sisi ndio watanzania na tanzania ni yetu sote ! Tutatumia njia ipi kuijenga nchi yetu na kuwaondoa hawa baadhi ya watz wachache wanaonyonya nchi ye2. Maana wengi wetu tunaishia kusikitika tu uswahilini !
   
 15. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Watanzania tumeshafunguka macho ila bado tuna wenge la usingizi(uoga)
   
 16. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #16
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Bila kumwaga damu ya manyang'au ccm hatutaendelea mpaka kiama.
   
 17. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,651
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Ikithibitika kuwa viongozi wanaruhusu au kushiriki katika wizi wa maliasili na utajiri wetu, ni haki kabisa kuanzisha uasi dhidi ya utawala wa namna hiyo ili kuiokoa jamii. Mashujaa wa jamii yoyote ni wale wanojitosa kuikomboa jamii husika dhidi ya utawala mbovu kivitendo.
  Ni muhimu kufahamu kwamba watawala ni wachache, wanaishi kwa kutegemea wananchi maskini na wala siyo wananchi wanaowategemea viongozi na hivyo ni rahisi kuwashughulikia wanapofanya kinyume na matakwa ya jamii.
  Gharama ya kuondoa viongozi ambao ni maadui wa uma kutokana na vitendo vyao ni kubwa, lakini ni lazima waondolewe ikithibitika kwamba wako kinyume na ustawi wa nchi.
  Cha msingi kabla ya kuanza mapambano ni kujihakikishia pasipo shaka yoyote kwamba utawala au viongozi wahusika wanashiriki moja kwa moja au hawawajibiki kuzuia wizi wa rsilimali za nchi.
   
 18. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #18
  Sep 16, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Watanzania tuikatae CCM. Tuiondoe mamlakani kama sivyo tutajikuta uchi kama enzi za mababu zetu.
   
 19. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  there is no freedom without second liberation......................FULL STOP.
   
 20. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu karibu Jf!!!kwa taarifu za wanakijiji wanaonizunguka ni kwamba zile net za bush hazitoshi kufunika vitanda vyao na kuruhusu baba,mama na mtoto kulala kitanda kimoja kama ilivyo utamaduni wetu.
   
Loading...