Moja ya speech za Kashindye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moja ya speech za Kashindye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Analytical, Sep 15, 2011.

1. A

Analytical Senior Member

#1
Sep 15, 2011
Joined: Mar 7, 2011
Messages: 149
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
2. p

politiki JF-Expert Member

#2
Sep 16, 2011
Joined: Sep 2, 2010
Messages: 2,356
Likes Received: 154
Trophy Points: 160
asante sana ndugu kwani umetufungua macho kuhusu kinachoendelea huko Igunga asante sana.

3. Mwita25

Mwita25 JF-Expert Member

#3
Sep 16, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 3,840
Likes Received: 18
Trophy Points: 0
Mbona speech yenyewe imejaa pumba tupu. Haya ndiyo matatizo ya wagombea ya kuokoteza na wenye elimu ndogo ndogo

4. J

Jasusi JF-Expert Member

#4
Sep 16, 2011
Joined: May 5, 2006
Messages: 11,484
Likes Received: 165
Trophy Points: 160
Kama kusema ukweli kwamba bei ya petroli ni rahisi nchini Rwanda kuliko Tanzania ni pumba basi kichwa chako ndicho kilichojaa pumba.

5. F

FredKavishe Verified User

#5
Sep 16, 2011
Joined: Dec 4, 2010
Messages: 1,090
Likes Received: 18
Trophy Points: 135
Hao wako yenye elimu kubwa wametuletea nn sisi kama sio umasikini wa kutupwa

6. magnificent

magnificent Senior Member

#6
Sep 16, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 110
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Wakala maarufu wa Nape

7. Filipo

Filipo JF-Expert Member

#7
Sep 16, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 9,330
Likes Received: 210
Trophy Points: 160
Wakuu,
Kuna wana jf wenzetu ambao wanatumia mobile kuingia humu jamvini. Kwa kuweka thread yenye link bila maelezo yoyote kunawanyima nafasi ya kuisoma na kuchangia thread husika. Nadhani ingekuwa vema kama tukitoa maelezo kuhusu thread na link iwe kama source ya habari.

8. only83

only83 JF-Expert Member

#8
Sep 16, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 5,252
Likes Received: 445
Trophy Points: 180
Haya sema wewe uliye na elimu kubwa.....na GPA yako ya 4 ya kuonga wahadhiri kupitia mgongo wa Nape na Ridhiwani pale UDSM....endelea tutaanika uchafu wako wote hapa JF,ili watu wakujue kuwa ni moja wa mafisadi wanaotengenezwa na Chama Cha Majambazi(CCM)....

Halafu degree yenyewe ya fishing unaleta kelele hapa....Hv nani atashindwa kupata GPA ya 4 kwenye masomo ya uvuvi wa samaki? Yaani hata wafanyabiashara pale FERI wanauwezo wa kusoma hiyo degree..na ndio maana mimi sishangai uwezo wako mdogo wa kujenga hoja na kutetea hoja..

Kazi yako ni kuandika mstari mmoja tu..na kuleta mipasho hapa...wewe unafaa sana facebook mkuu...

9. Manyanza

Manyanza JF-Expert Member

#9
Sep 16, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 4,446
Likes Received: 21
Trophy Points: 135
Duk kumbe ndio maan ajamaa anatumia nguvu na muda wake kuitetea CCM, kumbe ana masilahi

10. ntamaholo

ntamaholo JF-Expert Member

#10
Sep 16, 2011
Joined: Aug 30, 2011
Messages: 10,144
Likes Received: 2,104
Trophy Points: 280
kama vile hujasomeka vizuri

11. TIMING

TIMING JF-Expert Member

#11
Sep 16, 2011
Joined: Apr 12, 2008
Messages: 21,837
Likes Received: 125
Trophy Points: 160
huoni kwamba wagombea wenye elimu ndogo ni zao la chama tawala ?? fifty years za independency bado tuna watu wenye elimu ndogo wanagombea ubunge??

think about it............ critically!!! Ni sawa na kusema mwanangu mpuuzi sana, kafeli... wakati akisoma ulikua unamsaidia??

BTW................ you are trying very hard sema tu, unashindwa kutumia uwezo wako kufikisha ujumbe kwasbabu ya dharau zinazotokana na malezi uliyopata

12. E

ESAM JF-Expert Member

#12
Sep 16, 2011
Joined: Mar 15, 2011
Messages: 962
Likes Received: 36
Trophy Points: 45
Hivi kumbe 1st degree na kuwa 2nd degree student ni elimu ndogo!! Magamba bwana. Kwa hiyo na mwenyekiti wenu ana elimu ndogo ndiyo maana anaboronga kuongoza nchi? Kumbe mnajua, aisee umenitanabahisha sikujua

13. Lunyungu

Lunyungu JF-Expert Member

#13
Sep 16, 2011
Joined: Aug 7, 2006
Messages: 8,836
Likes Received: 75
Trophy Points: 145
Pumba zake na pumba zako ni afadhali zake mkuu zina maana kidogo au unasemaje ?

14. Sabung'ori

Sabung'ori JF-Expert Member

#14
Sep 16, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 2,087
Likes Received: 150
Trophy Points: 160

Naunga mkono hoja 100o/o

15. ZionTZ

ZionTZ JF-Expert Member

#15
Sep 16, 2011
Joined: Oct 6, 2009
Messages: 1,276
Likes Received: 241
Trophy Points: 160

hahahahahahahahahahahahahahahha ahahahahahahah asante sana braza...kumbeeeeeeeeeeeeeeeee unajua watu wenye vidigrii vya kuokota okota wanambwembwe sana, yani kidogo tu tayari anaanza kuponda "oooh tatizo shule" lakini ukichunguza kwa undani shule ya kipuuuzi tu....

huyu mwita25 ni mpumbavu tu...nitaendelea kusema....anamjua mbunge wa ccm pale makambako?? em tutajie elim yake...au yule prof maji marefu em tutajie elim yake....ccm ndo mnaongoza kwa vilaza duniani....kuna vilaza ambao mmeshawapa hadi wizara achilia ubunge....kaoge nyama wewe

16. N

Ngonini JF-Expert Member

#16
Sep 16, 2011
Joined: Sep 1, 2010
Messages: 2,024
Likes Received: 8
Trophy Points: 135
Hivi na Yule wa RoRya bado ni Mbunge au amejitoa?

17. The Magnificent

The Magnificent JF-Expert Member

#17
Sep 16, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 2,669
Likes Received: 155
Trophy Points: 160

yule ni std 7 failure!

18. N

Nkomoji JF-Expert Member

#18
Sep 16, 2011
Joined: Jun 2, 2011
Messages: 235
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Wewe huon nchi inavyoibiwa ni kweli kabisa viongozi wetu hawana elimu ya kutosha kuanzia Gamba kuu mpaka gamba dogo!kama kiongozi mkuu anahongwa suti hii ni hatari sana!

19. kapotolo

kapotolo JF-Expert Member

#19
Sep 16, 2011
Joined: Sep 19, 2010
Messages: 3,727
Likes Received: 86
Trophy Points: 145
Kama JK na degree yake ya kudesa

20. Ndachuwa

Ndachuwa JF-Expert Member

#20
Sep 16, 2011
Joined: Mar 8, 2006
Messages: 4,530
Likes Received: 725
Trophy Points: 280

Atawakilisha maslahi ya kundi lenye elimu ndogo ndogo ambao ndio wengi hapa Tanzania, uwezo wa kifedha na uwezo wa kufikiri ni vitu viwili tofauti. Maskini atafikiri njia inayotekelezeka ya kumpunguzia maskini mwenziwe umaskini wakati Tajiri fikra zake bila "external financing" hazifanyi kazi

Loading...