Kweli CCM hawajatulia,wawashukuru sana CHADEMA

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
690
Points
225

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
690 225
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.

Amani gani vijana wetu wanalala nja? Vijana hawaandaliwi mazingira ya kujiajiri? Wanatunyang'anya simu hovyo hovyo, viongozi wetu wanaishi utadhani miungu watu. Vijana wetu walikuwa tayari kufanya ya Misiri, Tunisia, na Pembe ya afrika.

Lakini maandamano ya CDM yameua wazo hilo la vijana. Sasa vijana wanataka kuwadondosha CCM kwa demokrasia. Wawashukuru sana CDM, sisi vijana wa zamani hatutaki vurugu lakini binafsi natamani kuona CCM hii ikianguka na CCM YA NYERERE (CHADEMA) ikiwika kokorikoooooo!!!!!!!
 
Idimulwa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2011
Messages
3,417
Points
1,225

Idimulwa

JF-Expert Member
Joined May 27, 2011
3,417 1,225
Uko sahihi mkuu CHADEMA mwendo mdundo na imekamilika kila idara hata jaribio la Spika kuwafunga midomo makamanda mjengoni ili wawe mazuzu kama kondoo lilishindwa vibaya na mto aliuona bunge lililopita mpaka akanyoosha maelezo kwani tunao makamanda watumishi wa Mungu.

Pia kina Natse na Msigwa ambao walikuwa wameshakemea zamaaani m,ake walioteshwa mapema na mungu juu ya mpango wa Spika
 
Kisima

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
3,825
Points
2,000

Kisima

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
3,825 2,000
Na uzuri sahz SheKh Yahaya mtabiri wao hayupo!
Watatumia masaburi kujtabria ushindi na vijana ha2uchakachuki awamu hii.
Soon their wealth is gonna be frozen zen 2tatengua mikataba mibovu n redeem our freedom for a sustainable future!
Let's just unite!
 
MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Messages
1,947
Points
1,225

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2011
1,947 1,225
Akili ya makalio inakutuma uandike lolote bila kufikiria kwa sababu makalio hayana Cerebrum!
Ukweli waonekana na ubaya wajitenga...nini Sera ya CCM kwa vijana?? huoni vijana ni bomu la kulipuka wakati wowote kama usipoliweka sawa kila saa na kulisafisha ili lidumu?? Wewe inaonekana ni mtoto wa fisadi na maisha yako yapo fresh..CC vijana tunalia na hali ngumu ya maisha na ni lazima kilichopo moyoni kiwe wazi kwa kila mmoja..CCM hawawajali vijana kisa Elimu ndogo..Mbona wakati wa kuomba kura ndiyo tegemeo lao la ushindi?? Wangeenda kwa ma DR na professors kuomba kura ili tujue wanawajali wasomi tuu...kaa kando treni inapita....ikijifanya wewe namna gani vipi?? linakuponda..Train ni CDM for your info...POPLES POWER..
 
Bill

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
5,458
Points
2,000

Bill

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
5,458 2,000
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.

Amani gani vijana wetu wanalala nja? Vijana hawaandaliwi mazingira ya kujiajiri? Wanatunyang'anya simu hovyo hovyo, viongozi wetu wanaishi utadhani miungu watu. Vijana wetu walikuwa tayari kufanya ya Misiri, Tunisia, na Pembe ya afrika.

Lakini maandamano ya CDM yameua wazo hilo la vijana. Sasa vijana wanataka kuwadondosha CCM kwa demokrasia. Wawashukuru sana CDM, sisi vijana wa zamani hatutaki vurugu lakini binafsi natamani kuona CCM hii ikianguka na CCM YA NYERERE (CHADEMA) ikiwika kokorikoooooo!!!!!!!
Hakika na iwe hivyo
 
Ngonini

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2010
Messages
2,024
Points
1,195

Ngonini

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2010
2,024 1,195
Wana CCM na serikali yao kweli hamnazo hivi viongozi wetu hawawasikii vijana maneno wanayosema mitaani? Vijana wamechoka kudanganywa tena kwa kisingizio cha amani.

Amani gani vijana wetu wanalala nja? Vijana hawaandaliwi mazingira ya kujiajiri? Wanatunyang'anya simu hovyo hovyo, viongozi wetu wanaishi utadhani miungu watu. Vijana wetu walikuwa tayari kufanya ya Misiri, Tunisia, na Pembe ya afrika.

Lakini maandamano ya CDM yameua wazo hilo la vijana. Sasa vijana wanataka kuwadondosha CCM kwa demokrasia. Wawashukuru sana CDM, sisi vijana wa zamani hatutaki vurugu lakini binafsi natamani kuona CCM hii ikianguka na CCM YA NYERERE (CHADEMA) ikiwika kokorikoooooo!!!!!!!
Mkuu mimi pia hapo kwenye red niliwahi kusema kuwa watu bado wanachanganya mambo, hawajagundua kuwa CCM iliondoka na JKN alipokufa tu. Baada ya hapo wajanja waliendelea kutumia jina hilohilo kujineemesha kwa kuwa watu wa kawaida walikuwa wanaipenda CCM ya Nyerere. Hivi leo ni wachache tu ndo wamegundua kuwa CCM iliyopo si ile ya Nyerere ila ni CCM ya mafisadi. Kwa wale wenye uelewa watakubaliana na wewe kuwa CCM ya Nyerere ndiyo CHADEMA ya leo na mara watu wote wakijakushutuka CCM ya mafisadi itaenda kaburini fasta.
 
Forum statistics

Threads 1,382,440
Members 526,380
Posts 33,828,519
Top