Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenyekiti wa halmashauri Geita ajiuzuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Muangila, Sep 12, 2011.

 1. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita Nd.Msukuma leo ametangaza kujiuzuru uenyekiti wa Halmashauri pamoja na udiwani kwa tiketi ya CCM baada ya kuwa kwenye mgogoro na madiwani wenzake wa magamba kwa muda sasa.

  Source: ni habari toka ukumbi wa halmashauri.

  ======
   
 2. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Itakuwa walimshtukia ana mahusiano na magwanda.
   
 3. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mwaka huu kuna mengiaisee
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Amechoshwa na siasa uchwara!
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  CCM na wapenda haki ni mbali mbali. Tunamkaribisha kwenye mapambano ya kudai ukombozi wa kweli wa nchi hii. Kabla ya kujiunga akafanyiwe assessment kujua kwamba siyo Shibuda style.
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Karibu kwetu,peoplez power
   
 7. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kwa spidi hizi, ndani ya hii miaka 5 hata Vasco atajiuzuru.
   
 8. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Huwezikuwa msafi ukabaki Ccm waliobaki ni majambazi watupu
   
 9. maulaga

  maulaga JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 472
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mafilili karibu uwanjani, natamani mwita25 aokoe jahazi. Sikubaliani kabisa na kujiuzulu kwake, mchozi unanitoka na kububujika, hapana nasema hapana!
   
 10. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  ni heri kuchelewa ufukweni ukisubiri chombo kingine kuliko kupanda jahazi lililotoboka. bg up mwenyekiti!
   
 11. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Acha waumbuane mapema, tunawasubiri 2015
   
 12. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mnamkaribisha kwenu, kwani munajua chanzo cha mgogoro? Hebu shughulisheni akili kidogo kugundua tatizo nini kabla ya kumkaribisha? Mbona Mh. Rostamu hamjamkaribisha au yeye alijivua gamba na huyu mwenyekiti amejivua shati?
   
 13. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kuna makapi mengine unaweza kuambulia hata punje moja lakini type ya RA mhhhh.
   
 14. shungurui

  shungurui JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2008
  Messages: 1,592
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Hii kali
   
 15. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wewe wasema!
   
 16. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,205
  Likes Received: 267
  Trophy Points: 180
  Halafu wakati wa kampeni atapanda jukwaani pamoja na mgombea wa CCM
   
 17. k

  kakuju Member

  #17
  Sep 12, 2011
  Joined: May 27, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za kutoka Geita zinadai kuwa mwenyekiti alikuwa anahoji matumizi ya pesa ambazo zinatolewa GGM (Mgodi wa geita) kusaidia maendeleo ya wilaya ya geita.

  Pamoja na fedha lukuki zitolewazo hakuna maendeleo ambayo mtu anaweza kuonyesha wapi hizo fedha zimefanya kazi. Maana nasikia alienda kuonana na uongozi wa mgodi kuhoji nivipi wanasaidia maendeleo ya wilaya wakampa takwimu zote za fweza, ndo alitaka kujua pesa ziliko enda. Basi wale wanao tafuna na wanasomeshea watoto wao ulaya wakaona huyo si mwenzao, kwa kutumia pesa zao wamewahonga madiwani na leo wakapiga kura ya kutokuwa na imani naye na kikao kilihudhuliwa na Mkuu wa mkoa wa Mwanza " KANDORO"

  CCM hawawataki kabisa watu ambao wapo kwa maendeleo ya UMMA
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Good news. Kudos
   
 19. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa na maoni yako.
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kimeanza kunuka ssa...................wacha waendelee
   
Loading...