Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu DC a CCM wamekosa sera na sasa wanaingiza udini katika nchi hii. Yule mama ana capitalise kwenye hijabu, waislamu wamuulize kwa nini alikuwa anafanya kitu haramu wakati amevaa vazi la...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Zikiwa zimebaki ck chache ufanyike uchaguzi wa diwani,chama cha mapinduzi CCM,kimekuwa kikigawa rushwa mchana kweupe,wamekuwa wakigawa pombe,khanga,vitambaa nk.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kuna tabia imezuka na inazidi kushika kasi siku hadi siku ya vijana kudharauliana kwa kutumia vyama. tabia hii imekuwa ikionyeshwa sana na vijana walio chadema, utasikia oh "kijana aliye ccm...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HUMWENENDO (maneno na matendo yao)WA VIONGOZI,WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM KATIKA KUJIVUA GAMBA, SISI WATANZANIA UNATUFUNDISHA KITU GANI? NIKWELI CCM HAINA DHAMILA YA KUSIMAMIA MASLAHI YA WTZ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu: Kikwete ametuchosha na ulegelege pamoja na ufisadi. Sasa hivi anamhadaa Clinton. Hakuna anachofanya zaidi ya kuwatafutia mafisadi vyakula vyao. Tunawaomba Raia wema wote wamwandikie Rais...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WanaJF wanasiasa kushikana mashati na viongozi wa sirekali inaashilia kitu gani au inaonesha indicator ipi katika ukuaji wa demokrasia nchini. mfano wale ngugu zangu watatu na mkuu wa wilaya, mi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika Kata ya Mwisi jimboni Igunga, Uchaguzi wa jimbo hilo unafuatia kujiuzuru...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Hii ina maana gani, katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, kuna baadhi walikosa ubunge mwaka jana. Hii ni ishara kuwa wananchi walipima utendaji kazi wao na kujiridhisha kuwa upo chini then wakawatema...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Hatimaye katibu mkuu wa wizara ya ujenzi Balozi Harbert Mrango ameongezewa muhula wa mwaka mmoja baada ya muda wake wa kustaahafu kufikia tangu mwanzoni mwa mwezi huu, Balozi Mrango ambaye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wednesday, 21 September 2011 20:19 Kizitto Noya KADA wa CCM, Mohamed Raza, amehoji mantiki ya dhana ya 'kujivua gamba' kama baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi hawataki kuwajibika, wala chama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana JF salaam toka Brussels Nimekuwa naangalia news usiku huu na nimeona matukio 3 1.Waziri Mkuu akiwa Serengeti leo , kwenye hadhara wameonyesha watu wakimsikiliza nimeona kuna mdada...
5 Reactions
46 Replies
11K Views
HADHARI iliyotolewa juzi na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya kuhusu athari zinazoweza kutokea kufuatia uhaba mkubwa wa umeme unaolikabili taifa letu hivi sasa lazima ipewe umuhimu stahiki...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Ni falsafa yangu inanituma kuamini kuwa ipo siku hali ya UTULIVU katika nchi hii itakwisha kutokana na dalili ninazoziona na mwisho AMANI tuliyonayo kutoweka. Kwa mtazamo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ufupi na uchache yaliyojiri igunga 1. Tindikali 2. Dc 'kupigwa' na kuvuliwa hijabu 3. Gharama. Zimefikia zaidi ya bil 1 4. Uzinzi 5. Uchomaji nyumba 6. Kupigana 7. Kambi za maninja huko iramba...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
  • Closed
Baraza kuu la waislam Tanzania(BAKWATA), na Baraza kuu la Answar suna Tanzania(BASUTA), kwa pamoja wamelaani kitendo cha viongozi wa CDM Kumvua hijabu DC Fatuma kimario wamesema kitendo hicho...
0 Reactions
414 Replies
33K Views
Haya wandugu naomba tujibu maswali yafuatayo:- 1.Katika purukushani za kumkamata muhalifu wa kike na ikatokea shanga,zikakatika,hijabu ikadondoka na saa ikapotea,kitendo hicho ni; (a)shambulio la...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
By: US Blogger Ms Shyroe-Bhanji, I am a blogging enthusiast and my specific interest is development issues pertaining to different parts of the world particularly my native country of...
12 Reactions
57 Replies
7K Views
UMMA: tunataka umeme wa uhakika jamani. Tunataka elimu bora, maji, huduma za afya bora na miundo mbinu mizuri. SIRIKALI: naona watanzania mmechoka kuwa na amani tuliyonayo. Nawasihi mtupe muda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mgombea ubunge wa chama cha DP anafanya kampeni zake kwa baiskeli. Hivi kwa hali kama hii si afadhali kujitoa maana atafikia vijiji au kata ngapi? Chama kama hiki kweli si bora kisiingie katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…