Eng.Nsiande na Majibu ya Tatizo la Nishati ya Umeme - Must Read | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eng.Nsiande na Majibu ya Tatizo la Nishati ya Umeme - Must Read

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tausi Mzalendo, Jun 26, 2011.

 1. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Respect Mkuu Eng.Nsiande!

  Nakunukuu kabla ya kurusha kombora zito kwako "Mhandisi wa mifumo na njia kuu za umeme..safarini Mpanda"


  Hivi..whats going on honestly? Mnalipwa mishahara kwa result gani nyie TANESCO?

  Samahani nimekuwa na jaazba kidogo...lakini nina haki maana nalipa kodi zote na ada zote kama Mtanzania...umeme ni moja ya huduma ninazotegemea kupata.

  Hebu tuelezeni kinagaubaga..nini hasa kinaendelea - go step by step kama unamfundisha mtoto wa chekechea ili tuelewe tatizo ni nini, mna mipango gani ya kutatua na tutegemee nini kwa kipindi gani.

  SAMAHANI TENA KAMA SWALI LANGU LITAKUKERA

   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Nsiande tunaomba majibu please...
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakati unasubitri majibu tembelea tovuti yao

  • Kujua ratiba ya mgao kulingana na mkoa uliopo download xls file hapa Announcements
  • Kuhusu miradi ya kupeleka umeme wilayani na vijijini . Sory miradi ya kupeleka mgao wilayani na vijijini soma hapa Government Funded - Ongoing Projects
  • Press realseas za MGAO mpya na hatuba ya mukurugenzi na fusra za kuwekeza kwenye sekta u ya umeme soma hapa. Press Releases. May be unaweza kuanzisha biashara ya kuua vigenrator vya robin teh teh teh teh

  UShauri

  Ili usipate blood pressure soma huku unashushia serengeti larger bariiiiiiiidi
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,413
  Likes Received: 81,453
  Trophy Points: 280
  Tausi, hili ni swali zuri sana lakini sijui kama Eng Nsiande anaweza kuwa huru kulijibu kama inavyostahili bila kuingilia kazi za "msemaji wa TANESCO" (Mama Badra Masoud) na pia nadhani itakuwa ngumu sana kwa kuwa ameshaweka wadhifa wake alionao kule TANESCO hadharani.
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hii ni moja ya official statement za TANESCO
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mmh.. hapa mnatafutana ugomvi tu na watu wa Tanesco; wameshatoa maelezo na nyie inaonekana hamuwaamini.
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Yaani Bubu!
  Mi nimemlenga maksudi nkijua kuna Badra..lakini maadam katuwekea "live bila chenga" kuwa yeye ni injinia wa TANESCO safarini ............. ni kama vile anajiaminisha kuwa anaweza kufafanua mambo technical...ambayo hayahitaji sana PRO kuyasema..halafu ...sidhani akitufafanulia, waajiri wake hao TANESCO watamjua ni nani hasa.Kwani huko safari yuko peke yake?...
  Namwaminia sana Bi Eng.Nsiande maana anajiamini sana.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Bila mabadiliko ya mfumo mzima wa wizara ya nishati na shirika la Tanesco hakuna jipya pale. Watu wameshazoea kufanya kazi kwa utaratibu wa business as usual. By the way, kama rushwa inakuwa sio siri tena kuanzia juu kabisa, kwanini Tanesco wajari kwamba tunateseka na umeme usiotosheleza?
  Tuanze kupigana na rushwa kwanza juu kabisa ya nchi yetu ili iwe rahisi kuwarudi hawa watu wa chini. Hatuna sababu ya kukosa umeme maana tuna gas, coal, maji na vyanzo vingine vingi!
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  teh teh ukiyasoma haya maelezo unachoka abisa . kwa miaka kama 10 ni hayo hayo. Ni kama wanatoa copy na kubadilisha tarehe tu
  Si kuna mamlaka ya hali ya hewa . Je TANESCO na Wizara husika
  • Hawakulijua hili mapema au forecasts walizokuwa nazo zimebadilika?
  • Ni mara ya kwanza kina cha maji kupungua kipindi hiki. Kama ndio tutawalewa kama sio walichukua tahadhari gani?


  Kama watu wanaofanya kazi kitaalam na si kiaisia tatizo la ukame walitakiwa wlaligundue mapema na hivyo kuweka mazingira ya kuwawezesha IPTL na wadau wengine kuwa katika nafasi ya kuwa na rasilimali zote wakati mabwawa yakiwa hayana maji. Hivi TANESCO na wizara hawana vitengo vya planning? Contigency plan

  Mimi sio engenieer lakini kutimia knowledge yangu ndogo ya ICT naweza kuwa consult TANESCO na Wizara ya nishati na madini. Tanesco waache mchezo wa kutoa majibu reja reja. Majibu yaoyanaibua maswali mengi
   
 10. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #10
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dush sorry... I was away for so long such that someone asked me to log in...

  Apart from what is posted on the web, reality sucks..reality is...we as a country has gas shortages so even if we get 300MW now we won't be able to run the gas plants...

  Mtera is @ 691m.a.s so literally it has to be shut @ 690m.a.s which will be achieved in August...unfortunately it didn't rain there!!

  Grid control center is currently asking to shed further 30MW ( that explains last night outage...)

  Kimsingi sina maelezo zaidi ya yaliyotolewa, ila for a state owned utility kazi ya generation bado ni mpango wa serikali.....

  Pole mzalendo na watanzania wenzangu...I didn't think that I would advice this...but anyways...pls if u can go solar..it will be severe in November kama mvua za vuli ( ambazo hydrologically si. Nyingi zikiacha kunyesha Mtera )

  I can advice on solar option based on ur load..yani umeme unaotumia majumbani
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Tutamkumbuka Dr.Idris Rashid alikuwa mtendaji haswa wa Tanesco haogopi Board of Directors wala wizara,mtoa maamuzi yenye tija.Sasa huyu Mhando kila siku yupo wizarani kwa katibu mkuu hana anachofanya.Hata mafuta yanawashinda sasa Tanesco,songea hakuna umeme kisa mafuta.Huku wanampango wa kujenga mtambo wa kutumia mafuta mwanza sii ujinga huo!!!
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,413
  Likes Received: 81,453
  Trophy Points: 280
  that is the only solution for those who can afford all expenses involved to switch to solar power.
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Swali la msingi:-

  Kwa nini serikali, tanesco haijawekeza katika vyanzo vipya vya kuzalisha umeme mara baada ya serikali ya awamu ya kwanza? Ina maana katika ma rais Nyerere tuu ndiye aliyeona umuhimu wa umeme?

  Jee Tanzania tuna vyanzo gani ambavyo tunaweza kuzalisha umeme wa H.E.P eg mto rusumo,rufiji is viable sources?iwapo serikali itakua na dhamira ya dhati ya kutupatia umeme watanzania?

  Jee engineer ni sahihi kweli Tanesco kuwazia vi miradi vya kuzalisha umeme wa 100MW badala ya kuwaza kuzalisha 5000MW?

  Hayo tuu naomba utujibu wana jf!
   
 14. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  SUX BIG TIME!
  Thanks for the info Engineer.

  Swali - kwani miaka yote ya uhai wa TANESCOa ina maana hakukuwepo na any strategic plan - with Vision - which is long term? Ina maana mabadiliko ya hali ya hewa yamekuja kama news/surprise kiasi kuwa no contingency plan whatsover/


  I am angry!
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Tausi.. kweli unataka usome mipango ya CCM na serikali yake kuhusu umeme? naweza kutafuta hotuba ya bajeti ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wa wakati uleeeeee uone alisema nini juu ya mipango hiyo...
   
 16. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bongolala, if there was ever a good leader , daring , innovative and entreprising Dr Rashidi is one..I will forever miss u my mentor
   
 17. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sasa engineer haiwezekani kutumia umeme wote hata kama utalast one week halafu tujue tunaingia gizani moja kwa moja, mgao unakera sana bora tujue hakuna umeme kabisa.
   
 18. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Asante,

  Ruhudji iliyofanyiwa feasability(sp) study ndio viable project lakini yabidi serikali iamue, uwekezaji wa kuongeza generation unatakiwa uende sambamba na njia kuu ya umeme (yaani transmission) unapoongeza uzalishaji lazima upanue njia kwani hizi 132KV na 220Kv zinakuwa zimezidiwa na mzigo mkubwaKwasasa kuna mradi wa 400KV ambao utapunguza technical losses ambazo tunapata wakati wa usafirishaji wa umeme.

  Hivyo yote mawili yanatakiwa yaende sambamba, ndugu zangu tembeleeni Oysterbay, kule kulipimwa kama makazi, maghorofa yamechipuka yenye zaidi ya 20plus residents wanaotumia umeme haswa...kwa load ya kule na kuchipuka kule ina maana substation zinatakiwa ziongezwe maana transformers zinazidiwa outages zinazidi ukienda kupima load, unastukia sehemu iliyokuwa nyumba moja ni ghorofa 20!

  No one regulates these things...kwa wenzetu huruhusiwi kubadilisha residency bila kulipia ongezeko la gharama za umemeKwahiyo sio tu tuongeze uzalishaji, bali usafirishaji( transmission) na usambazaji (distribution )
   
 19. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Asante sana kuibua ishu nyingine nyeti.

  Hivi mpendwa, ina maana TANESCO huwa haina usemi wowote kwenye mipango miji? Najua hili swali siyo lenu kivile. Inashangaza pale taasisi mbalimbali za serikali zinapojifanyia mambo bila kuratibiwa. Kweli hili la ujenzi holela nalo linaleta tatizo lakini huwezi kusema ndio kisababishi cha tatizo linaloikumba nchi nzima almost kwa sasa.

  Na tunarudi kulekule.. HAKUNA FORECAST kwa matumizi ya umeme ili kuweka mpango wa kuitikia mahitaji mapya?
   
 20. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Awwwww....

  Umeme unatumika ule unaozalishwa..kwa mfano Mtera ina capacity ya 80MW inazalisha 20Mw pekeeSasa upungufu huu, unafanya loadshedding yaani upunguze mzigo ili ugawe kilichopo, mfano rahisi,Wanaokuwa feeder ya Mbezi ambayo load yake ni 10MW na upungufu wa uzalishaji umetokea unaambiwa ondoa 30MW kwenye gridi, unachofanya ni kuzima feeder ambazo ukijumlisha unatoa hiyo 30Mw sasa ili usiathiri kila mtu, kila mkoa unapangiwa muda na kiasi cha kutoa load..

  Nimejaribu kuiweka kingwini kidogo kuonyesha kuwa unapokuwa huna uzalishaji wa kutosha huwezi kuepuka mgao
   
Loading...