Mbona walikua kimya kwenye suala la mahakama ya kadhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona walikua kimya kwenye suala la mahakama ya kadhi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by darasa, Sep 28, 2011.

 1. d

  darasa Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inashangza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza
   
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  halafu kuna akina dada kibao wa ccm wanao utukanisha uislama kila siku lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa kama yule wa tot, auntie ......
   
Loading...