Rais mteule 2010 na nafasi za kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais mteule 2010 na nafasi za kazi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mshiiri, Jul 17, 2009.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hivi mbona rais wa Tanzania naye hatangazi nafasi za kazi tukaapply au hao waliopo wanaendelea kuwapo ikiwa hawajachujwa kwa kiwango ndo maana wanafisadi? Hebu angalia baada ya kuapishwa Obama mara moja ishu ikawa out wazee wakajichukulia ajira . https://app2.whitehouse.gov/ppo/paper_app/Presidential_Appointments_Application.pdf Nchi nzima! Ama kwa njia hii ajira walau milioni tano kwa Tanzania zingezaliwa.
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ni nafasi zipi haswa ungetaka zitangazwe? Kumbuka kuna nafasi za kuteuliwa na nafasi zingine ni mtu anapanda cheo within the ranks of the civil service. Kazi nyingi serikalini ni mtu ana pandishwa cheo.

  Kulinganisha Tanzania na Marekani kwenye hili ni makosa. Kwanza mifumo yetu tofauti na pili Marekani ina bureaucracy kubwa kuliko yakwetu. Kwa hiyo taja hapa hizo nafasi zilizo tangazwa wazi na Obama halafu tuangalia kama:
  1)hizo kazi zipo available Tanzania
  2)Tuna utaratibu gani wa kutoa hizo nafasi
  3)Je jinsi ya kutoa hizo kazi zinaendana na mfumo wetu?
   
 3. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Have no idea todate
   
Loading...