CCM na vyombo vya usalama waungana kupambana na CHADEMA


P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,373
Likes
187
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,373 187 160
Utamjua mpinzani wa kweli kutokana na namna CCM inavyotumia nguvu nyingi kupita kiasi kupambana naye. naomba
hata wana CCM wenyewe kurudi nyuma na kujiuliza kama kweli madai ya CCM kuwaletea wananchi ni ya ukweli kuna haja
gani ya kutumia nguvu nyingi hivi ili kushinda uchaguzi ?? wananchi wenyewe wangeyaona maendeleo na kuwapgia kura
warudi tena madarakani jawabu la haraka haraka ni kuwa hayo maendeleo CCM inayoyasema ni Questionable na ndio
maana nguvu ya kupita kiasi inatumika. Swali langu kwa wana ccm kwanini CCM isiwatumikie wananchi kwa uaminifu ili
isilazimike kutumia nguvu kupita kiasi kwenye chaguzi ndogo kwani ni AIBU kwa chama kama CCM kutumia mabilioni ya
shillingi kwa ajili ya uchaguzi mdogo wakati wanashindwa kununua madawati ya wanafunzi huko Igunga ambapo asimilia
80% ya shule za misingi hazina madawati.
 
N

Nzogupata

Member
Joined
Apr 10, 2011
Messages
70
Likes
0
Points
0
Age
43
N

Nzogupata

Member
Joined Apr 10, 2011
70 0 0
Una maanisha hukujua kuwa ccm ni kwa ajili ya bakwata na usalama wa taifa? aliyosema jk dodoma wkt wa idd si yaliyoko kwenye practice. Udini mtupu kila kona
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
BAKWATA ni NGO kama viji NGO vingine

mbona wanakuumizeni kichwa?
 

Forum statistics

Threads 1,236,951
Members 475,327
Posts 29,274,325