Zitto Kabwe akizungumzia Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria na Madini Igunga

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
19,910
22,312
Mh. Zitto tarehe 25 huko Mwanzugi Igunga aliwafungua macho wakazi wa Igunga na Mikoa ya jirani kuwa Mradi wa ziwa Victoria ulitumia Kodi za ndani kwa manufaa ya Wawekezaji wa Migodini na si kwa ajili ya Watanzania, Pia alishangaa jinsi ambavyo Wananchi wa Tanzania wanakosa Maji na Huduma za afya wakati nchi hii ina utajiri Mkubwa wa Madini. CCM imekuwa ikidai itatumia maji ya Ziwa Victoria kuwapatia maji Wananchi wa Igunga endapo wataichagua Oct 2.
Source: habari na video ni Chadematv YOUTUBE
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom