Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni mengi yamekuwa yakitokea kwenye kampenzi za kuwania ubunge wa jimbo hilo dogo la igunga baada ya Rostam kuliachia jana tumeshuhudia mikatano ya kampeni msululu kama magomen mwembechai,usalama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NASHAURI, kama hatuwezi kuwa na wana JF, kwenye vijiji vyote 98 IGUNGA, basi ikiwezekana kutoka kwenye kata zote 26 za IGUNGA tupate wawakilishi ili kupata update za matokeo, tukajijumlishia...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Tumejifunza nini katika Historia ya Majanga na Maafa yake Nchini? Tanzania imekuwa na historia ya maafa tangu mwaka 1872. Maafa hayo yamesababisha vifo, uharibifu wa mali na mazingiraAina ya...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Inawezekana usiamini, lakini huu ndo ukweli. Askari wengi wa vyeo vya chini na vya kati wa majeshi yote(JWTZ,POLICE NA MAGEREZA) hawana kabisa imani na CCM. Unaweza ukaniuliza utafiti huo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
TBC1 imetangaza kwenye taarifa ya saa 2 usiku kwamba rais Kikwete atahutubia taifa: Hii hapa Taarifa Hotuba yake. Pekua chini kwa hotuba yake kimaandishi.
0 Reactions
141 Replies
12K Views
Vurugu mbalimbali zimejitokeza ktk kuhitimisha kampeni ktk kata ya Majengo leo.mpaka ninavyoongea vyama vya cdm na ccm vyote vimefungua kesi polisi,Cdm wakilalamika vijana wa Ccm,kuingilia mkutano...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani kwa nini wasiiweke hewani hii CHADEMA TV..(CTV)..??? Mimi niko Tayari Kuichangia na nadhani kuna wadau wengi wataunga mkono . Tumechoka na uchakachuaji wa TBCCM. Wadau wa CTV tupeni...
4 Reactions
124 Replies
15K Views
Mwandishi wa gazeti la Mtanzania, Arodia Peter, ambaye amesafirishwa na kulipiwa na CCM Igunga, ametimuliwa na kutishwa na vijana wa ulinzi wa CCM katika mkutano wa chama hicho ulokua unahutumiwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
wadau nomeona mnakadili igunga na kusahau kuwa kunakata ishirini na mbili,ambazo nazo zonafanya uchaguzi wa madiwani.naomba kuwatajia ili mfiatilie na huko ni chadema na ccm ndo wameweka wagombea...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilikuwa ni vurugu tupu hapa katika kijiji cha Nandekwa mpaka Mgombea wa CUF na Viongozi wa Chadema wamefikia kukunjana, kisa Vyama hivyo vipo vinafanya mikutano karibu ambapo Helkopta ya Chadema...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Uzoefu unaonyesha kwamba,shahada hii imetumika katika chaguzi nyingi zilizopita. Mchango wenu waungwana.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Justice should be done and seen to be done in Igunga by election. Bila haki kutendeka na kuonekana ikitendeka jamani tusiwe wanafiki, itakuwa ngumu sana mambo kueleweka. Things won't be the...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Hiyo ndiyo nembo ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ambayo imepitishwa rasmi na Kamati ya Taifa ya Madhimisho hayo chini ya Katibu Mkuu Kiongozi..
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Taarifa ya habari ya 20hrs naona TBC walikuwa wakionesha ufunguzi wa kampeni kwa CCM nashangaa wakawa wanonesha watu kwa mimbari ie Mkapa na Kafumu wakihubiri bila kutuonesha watu mara...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa wale wenye king'amuzi tizameni Sibuka TV Wanaonyesha mkutano wa chadema live
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Chadema zimedai kuwa karatasi hizo pamoja na maboksi hayo ya kura yamehifadhiwa nyumbani kwa mkuu wa wilaya hiyo, taarifa ambazo zimekanushwa vikali na kiongozi...
0 Reactions
201 Replies
21K Views
Wakuu nafikiri kuna umuhimu wa kufanya tafakari juu ya picha ya front page ya Gazeti la Habari Leo (state or public media?) toleo la leo. kuna picha pale na maelezo (caption) yafuatayo...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Haya ni maneno ya mwanaJF ambaye amepotea jamvini muda mrefu kwenye wall yake facebook.Kama mnakumbuka mara ya mwisho ni pale alipotoa taarifa za uongo kuhusu Chenge kuvuliwa gamba kwenye kikao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wana JF naomba msaada wa kupata vitabu hivi vya mwanaharakati wa kenya nakumbuka nilivisoma zamani lakini kwa sasa vinaweza kuwa na maana kwa maisha yetu watanzania hata kama kuna mwenye soft copy...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Watanzania twahitaji maamuzi ya haraka ili kupambana na udhalimu wa rushwa na ufisadi katika nchi yetu kama anavyofanya sasa rais Sata kule Zambia kwa hatua yake ya mara moja kuchunguza mikataba...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…