Mungu Ibariki IGUNGA


imma.one

imma.one

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
545
Likes
5
Points
35
imma.one

imma.one

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
545 5 35
Ni mengi yamekuwa yakitokea kwenye kampenzi za kuwania ubunge wa jimbo hilo dogo la igunga baada ya Rostam kuliachia jana tumeshuhudia mikatano ya kampeni msululu kama magomen mwembechai,usalama na jangwani mikutano iliyokaribiana sana na wengi tulidhani ni ishara mbaya.
Lakini letu tangu asubuhi hali ni shwari igunga hakuna vurugu zozote zaidi ya mabishano ambaya huwa ni kawaida kwa chaguzi zote TZ.
Wote tuiombee Igunga wenzetu wafanye uchaguzi kwa Amani.
MUNGU IBARIKI IGUNGA
 

Forum statistics

Threads 1,237,971
Members 475,809
Posts 29,308,348