Elections 2010 Lala salama Igunga: Mgombea wa CUF azipiga kavukavu na wanavijiji

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari wa FFU waliokuwapo.

Kisa ni kwamba CUF waliingilia eneo la shule ya Msingi Nandekwa kutaka kufanya mkutano, huku eneo hilo lilikuwa limepangiwa CDM kufuatana na ratiba. Katika mabishano makali polisi iwalisisitiza CUF waliachilie eneo, ndipo Mahona akaja juu akidai alitukanwa vibaya na wafuasi wa CDM.

Alianza kurusha makonde kwa kila mtu aliyekuwa mbele yake lakini baadaye alidhibitiwa na FFU kama saba wenye virungu pamoja na viongozi wa chama hicho hadi ndani ya helikopta iliyokuwa ikiwasubiri.

attachment.php

View attachment 38183
 
Lol tutasikia mengi mwaka huu
 
Kipindi hiki cha lala salama huyu mgombea hakutakiwa kuonyesha upande wake mwingine. Huyu akiingua bungeni ataweza kung'uta hata microphone as long as iko mbele yake kwa hasira tu.

Indume umenichekesha sana sana .Hawa CUF si walisema Chadema wagomvi imekuwaje anarusha makonde kama cobra na mate yake ?
 
Inabidi tume m disqualify huyu m2 haiwezi kiongozi mnzma na kioo kwa wananchi apigane hadharani hyo ni jinai ila subiri adhabu watampa kesho wananchi wa igunga kwa kumpeleka bungeni KASHINDYE
 
Na kama ingekuwa chadema sijui ambavyo mavuvuzela ya ngepayuka.Tungoje kesho maana sina imani na haki itakavyokuwa-treated.
 
Dalili za kuchanganyikiwa, kwa nini achanganyikiwe kipindi kama hiki? Jibu tusubiri matokeo ya kura tutalipata.
 
pasingekuwa na picha wangesema wanazushiwa. Uzalendo na subira vitu muhimu sana
 
amepoteza kura huyo haamimini kabisa kuwa umaarufu wake wa 2010 umeshuka kiasi hicho
 
Kama kuna mpiga kura yeyote wa IGUNGA yuko humu ndani na ni mpenzi wa CUF, namshauri apeleke kura yake kwingineko maana huyu si kiongozi. Shame on him.
 
huyo mwenye red mbona fuko lkmetuma sana au shahada hizo kanunua kwa wapiga kura
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom