Nikiwa naamini kabisa kuna kundi kubwa la watu hawatapata fursa yao ya kikatiba kupiga kura kwa sababu ambazo Tume ya Uchaguzi NEC wanakijua na wanafanya makusudi kutoliboresha daftari kila mara, na hasa baada ya Uchaguzi Mkuu 2010.
Kuna watu wametimiza miaka 18 sasa, wapo waliohamia na wale kwa sababu mbalimbali hawakujiandikisha. Sasa kwa wale waliomo daftarini na kwa hamasa ya watu wanavyojitokeza kwenye mikutano, siku ya tarehe 02/10/2011 waje wawajibu kwa vitendo hao NEC na wanaowaagiza kuifinyanga demokrasia.
JITOKEZENI...................