Elections 2010 Mgombea Ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CUF apata ajali!

Mpui Lyazumbi

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
1,856
369
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa maelezo yake mwenyewe kupitia tbc taifa, gari lao limeharibika vibaya na wao wanaendelea vizuri.

UPDATES:- Haya ndo maneno yake " Cha ajabu pikipiki ni nzima na mwendesha pikipiki mwenyewe ni mzima, na tulikuwa wanne kwenye gari wote tumetoka wazima. Naelekea nyumbani kupiga kura, na nitapiga kura eneo la simbo -nyumbani. Baada ya saa 24 nategemea kuwa mbunge mpya wa igunga".
 
Mapujds

JF-Expert Member
May 12, 2011
1,286
127
Kagongwa na pikipiki?then gari yake imeharibika vibaya?du kaanza kupewa adhabu kutokana na usaliti kwa upinzani.ok mpe pole.
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
Mgombea ubunge jimbo la igunga kupitia CUF amepata ajali. Kwa mjibu wa matangazo ya tbc taifa, bw mahona kapata ajali wakati anaelekea kupiga kura mara baada ya gari lao kugongwa na pikipiki. Kwa maelezo yake mwenyewe kupitia tbc taifa, gari lao limeharibika vibaya na wao wanaendelea vizuri.

Alikuwa amepanda gari ya makaratasi?
 
Biera

JF-Expert Member
Dec 7, 2010
464
78
Upinzani c kuombeana mabaya,by the way wapinzan hawana umoja na kama wangecmamisha mgombea m1 tayar CCM wangekuwa chari!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom