CHADEMA tunahitaji tv yetu


Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,175
Likes
3,951
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,175 3,951 280
Naona tunacholishwa Igunga kupitia Tv zetu ni sumu tupu,kwanza leo asubuhi baada ya ITV kusema wako live CCM wakaamua kuukata umeme ili wajipange vizuri kuepuka kuonesha misululu ya vijana wanapiga kura,baada ya masaa 3 umeme ukarudi na baada ya hapo tukaanza kuoneshwa maeneo yenye wafuasi wa ccm tu na akina mama wakati huohuo wakiacha kuionyesha mistari ya vijana wakipiga kura,sasa wanatangaza eti vijana hawajapiga kabisa kura ikimaanisha kwamba hata wakiyapindua matokeo tayari vijana hawakupiga kura...hii ni mbinu imetengenezwa makusudi na ni ya kulaaniwa na wanademokrasia wote,iweje maeneo yote na vijana wote leo wasionekane kupiga kura eti kisa wamekataa?iweje ripoti zitoke sehemu fulani na sehemu(vituo)fulani visiripotiwe kwenye TVs

CCM hata mkiwahadaa watanzania walioko mbali,mnajidanganya kwani tunaelewa watu wote wamepiga kura na hizo kura zitalindwa na vijana mpaka kieleweke kwani mnawadanganya wa mbali lakini wa karibu wanajua na wanaona na watahakikisha wanakilinda wanachokiamini mpaka haki itendeke,alutakontinua!
 
Mwita25

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
3,839
Likes
24
Points
0
Mwita25

Mwita25

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
3,839 24 0
TV ya Chadema iko sebuleni kwa Mbowe. Ni inch 14 aina ya Hitachi.
 

Forum statistics

Threads 1,235,139
Members 474,353
Posts 29,213,133