Elections 2010 Hukumu ya Igunga leo WANANCHI KUAMUA NANI AWE MBUNGE WAO

Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike ikiwa matokeo yatagundulika kuwa yamechakachuliwa.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164

Chadema ni System kamili.

Haina kuchakachua. Subiri uone.
 
politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,504
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike ikiwa matokeo yatagundulika kuwa yamechakachuliwa.

kuna mwana JF aliwahi kuuliza ni wapi Tahir square ya Tanzania, kukujibu ni kwamba Igunga inaweza ikawa ndio TAHIR SQUARE yetu ya kuanzia mapambano yetu dhidi ya mafisadi nchini.
 
Tetere Enjiwa

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
217
65
kuna mwana JF aliwahi kuuliza ni wapi Tahir square ya Tanzania, kukujibu ni kwamba Igunga inaweza ikawa ndio TAHIR SQUARE yetu ya kuanzia mapambano yetu dhidi ya mafisadi nchini.

Lakini ninavyo jua mimi Tahir square haikushuka tu kutoka angani(hewani) watu wali brain storm kuja na mkakati huu. Sasa ni mkakati gani utumike kukitokea uchakachuaji huku Igunga.
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
kumekuwa na tuhuma kila tunapokuwa na uchanguzi hapa nchini hasa zinazo husu kuchakachuliwa kwa matokeo. Nilikuwa na waomba wanaJF hebu tujaribu kutoa mawazo yetu ya kujenga, kuwa nini kifanyike ikiwa matokeo yatagundulika kuwa yamechakachuliwa.

tumwachie mungu!!!
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
kuna mwana JF aliwahi kuuliza ni wapi Tahir square ya Tanzania, kukujibu ni kwamba Igunga inaweza ikawa ndio TAHIR SQUARE yetu ya kuanzia mapambano yetu dhidi ya mafisadi nchini.

mungu atuepushie hayo.
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,123
Naona Mdee na Mwanyika wana experience ya kusimamia kura kama walivyofanya majimboni kwao
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Dondoo kutoka kwa chanzo cha habari cha ukweli:

 1. Mkutano wa Chadema ulikuwa funika mbaya.
 2. Helikopta iliongoza maandamano. Namaanisha helikopta ilikuwa juu ikienda mwenda wa raia, chini umati wa maelfu ya wananchi wakitembea kutoka afisi za Chadema kuelekea uwanja wa kampeni. Wa Jikoni anasema ilikuwa inaenda kijoti-joti. inastua kidogo, inaganda kidogo, mpaka uwanjani.
 3. Raia wako tayari kwa mabadiliko na wamejiapiza kuizika CCM kesho.
 4. Kura zitalindwa kwa gharama yoyote na mkurugenzi wa wilaya ametahadharishwa asijaribu kupindisha ukweli.
 5. Kura zitahesabiwa kituo kwa kituo, matokeo yakishapatikana, watu wataandamana kwenda ofisi za halmashauri kufanya hesabu za 'milinganyo sahili'.
 6. Kama hesabu jaitabalansi hapo kwenye (5) na CCM kujitangaza washindi, MOTO utawaka Igunga, Shinyanga, Mwanza, Arusha, Musoma, Dar Es Salaam, na popote ambapo kuna raia wanaotaka mabadiliko ya kweli.
 7. Polisi waliahidiwa posho za 30 000 kwa siku, lakini wanalipwa 5 000/ kwa siku. Nao hawadanganyiki japo hawawezi kusema hadharan
Chai kidogo:
Mh. Kasulubai(MB) kama mtoto wa Kigoma tu. Amesema CCM wameleta mchawi (mchawi kweli siyo masihara), lakini amewaambia Wana-Igunga kwamba huyo mchawi wao "agwinga ngogo gete bhaseya"

Jamani eeh, mnisamehe kuwacheleweshea updates...Wajikoni anapigiwa simu na watu wengi gafauti gafauti. wakati mwingine anaishiwa chaji.CCM waacheni Wana-Igunga. Wanataka mabadiliko. Hatutaki kusikia mtu kapigwa risasi kafa tena huko. Mlikubali vyama vingi...sasa tunaomba mfaidi matunda yake, siyo kupiga fita.

Naenda kulala.
 
Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,524
13,099

nasema tena ubarikiwe milele kwa taarifa hii tamu ajabu
 
DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Hiyo imetulia, Kesho ni kesho CCM chaliiiiiiii kifo cha mende.
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Tunashukuru kwa update.
Zaidi nawatakia wananchi usiku mwema, mungu awajalie nguvu.
Tunategemea kesho watatuongezea mpiganaji.
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
Mkuu usilale,endelea kutupa updates za huko viwanja vya mapambano....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom