Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi igunga; CCM kuibuka kidedea

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by takeurabu, Oct 2, 2011.

 1. t

  takeurabu JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wana JF haya ni maoni yangu na ninafikiri ndio utakaokuwa ukweli wenyewe; kutokana na nguvu kubwa waliotumia chama tawala ccm katika uchaguzi mdogo wa Igunga, kwa maoni yangu mimi chama cha mapinduzi (ccm) kitaibuka kidedea katika uchaguzi huu. kwa mantiki hiyo natabiri kuwa matokea yatakuwa kama ifuatavyo:

  1. Mgombea wa CCM atapata= 67%

  2. Mgombea wa CUF atapata= 23%

  3. Mgombea wa CHADEMA atapata= 8%

  4. Wagombea wa vyama vingine watapata kwa ujumla wao = 2%

  HONGERA SANA CCM!!! PLOLENI SANA MAGWANDA KWA KULIZWA KWA MARA NYINGINE TENA!
   
 2. R

  RMA JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuchakachua na kupiga watu mabomu ya machozi na hata kuua na kisha kunyakua masanduku ya kura kwa nguvu na kukimbia nayo ndivyo itakavyokuwa! Tofauti ya hapo, hiyo 67% ni ya Chadema!
   
 3. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ndivyo mlivyopanga kuchakachua au!, Safari hii mmechemsha.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,787
  Likes Received: 36,795
  Trophy Points: 280
  Safari hii alizwi mtu bwana bongolala.
   
 5. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hayo maoni yako wapelekee wapiga Moshi a.k.a Gongo.
   
 6. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mh!! hii mechi ina vituko kuliko ya simba na yanga...
   
 7. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kura za misikitini hizo.
   
 8. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hapa hakuna demokrasia,kuna watu bila hoja wanasema CCM itashinda na wengine bila chembe ya hoja pia wanasema CDM itashinda. muwe mnaweka hoja, kutabiri maana yake nini?? wengine hatuna vyama tunatazama sera,bila hoja hamuwezi kutushawishi tupigie chama gani. ndimi mwana IGUNGA.
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Wewe kuku kweli,unatumia vigezo gani kusema hvyo? Ainisha ni nguvu ya namna gani? Unawaza kwa kutumia m.a.k.a.l.i.o
   
 10. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Mara ya kwanza kulizwa ni wapi? Manake sisi ndo tumezidi kupata mafanikio,ninyi CCM ndo mnalia.
   
 11. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Acha kutania watu hapa JF,Wewe haupo Igunga wala nini
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Sijajua vigezo ulivyotumia ktk utabiri wako hivyo siwe commenti kitu.
   
 13. u

  ureni JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kitu huyu jamaa anachofanya nikuwaandaa wananchi ili wakubali matokeo,manake uchakachuaji umeshafanyika kwa hiyo anachofanya huyo jamaa anapiga propaganda ili kuwateka watu kisaikolojia wasistuke matokeo yatakapo tangazwa.
   
 14. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kawaida ya chadema..hamuwezi hoja, kazi kutukana tu! Hebu jiangalie mtu mzima upupu uliouandika hapo juu
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbivu na mbichi ni leo tuache kupiga ramli.
   
 16. m

  mpunze Member

  #16
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa mambo ya misikiti yanatoka wapi mkuu? hiyo roho mbaya na chuki dhidi ya uislamu zitatupeleka pabaya na tukifikia huko kama wewe utapona nina uhakika baadhi katika familia au ukoo wenu wataathirika. heshimu mawazo ya watu mkuu kama hukubaliani nayo pinga kwa hoja na siyo kuamsha adrenaline za watu hapa
   
 17. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mmeshachakachua na mmepanga matokeo yawe hivo eeh....dawa yenu inachemka..
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dr Vs Mwalimu wa UPE!
  Yule mwingine hivi ni nan et?
   
 19. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli...Hongereni in advance na after matokeo kutoka tusonge mbele Igunga imetawala JF for too long
   
 20. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #20
  Oct 2, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mwalimu wako wa kiswahili unamkumbuka barabara?.. au umeshashahau hata kiswahili kama ni lugha ya wabongo! Unatoa maoni.. then unatabiri.. kipi ni kipi.. shauri lako kuchanganyikiwa kubaya, mwanzako CCM-b jana kahitimisha kwa kumiminia wapiga kura wake makonde kavukavu.. Mahona ile michezo ya kunyanyua viroba vya kg20 bado inakusumbua babaee..
   
Loading...