Kwa kauli ya kamanda Issaya mngulu polisi watakuwa chanzo cha uvunjifu wa amani

tusichoke

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
1,316
216
Mngulu anasema hayuko tayari kuona wapinzani wakisherehekea ushindi hata kama watakuwa wameshinda .Haya ni matatizo kwani mwaka jana majimbo mengi ambayo wapinzani walishinda yalitangazwa baada ya maandamano.Anaposema anamsubiri kiongozi furani aandamane kudai ushindi ili yeye mwenyewe apambane naye inaonyesha hatetei haki bali maovu.SOURCE CHANNEL 10
 
Alisema yeye atasifiwa na Boss wake. Na ndo huyo kamtuma mwache ajaribu akione cha moto.
 
kibaya zaidi hawa sisiyem waitumia vibaya dola.
na kwani hawa polisi,nec,mahakama,takukuru,uhamiaji pia usalama wa taifa.
wanatumika vibaya mno ila wajue mwisho waja!
kiukweli hawa magamba wanatupeleka pabaya.
 
Yupi ananafuu " ANAYENG'ANG'ANIA MADARAKA AU ANAYETAKA MADARAKA" ?
 
Back
Top Bottom