viongozi wa cuf wakiongea kwa wakati tofauti baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga mkoani Tabora wamesema siasa za Tanzania bara muelekeo wake ni mbaya na itachukuwa muda mrefu...
wakati sera ya kilimo kwanza ikiwa katika utekelezaji Mh. PM na Mrs Tunu wako ziarani Brazil kujionea na kujifunza kilimo cha kisasa ikiwa ni pamoja kutembelea viwanda vya zana za kilimo. sijui...
Jamani sijamsikia mzee Ndesamburo siku nyingi, kwenye bunge lililopita sikumuona, je alihudhuria?. Huyu mzee alinifurahisa sana wakati wa kashfa ya lowasa pale alipokua akichangia mada akasema...
kwa kila Mtanzania aliyesoma na mwenye uwezo wa kufikiri na kukosoa atahukumiwa kwa kukisifiasifia CCM. Hawa hawapo kitaifa ila kimaslahi!!!.
Kuna jamaa aliyekua kilaza wakati wa chuo nasikia...
Ndg wadau mwenzenu nimetafakari na kuja na conclusion yangu juu ya CDM.
ccm wanadai wameshinda lakini hebu cheki hili...
1. Wamemtumia rais mstaafu
2.Mawaziri wa serikali
3.Polisi
4.Usalama wa...
Binafsi yangu nimekuwa nikijiuliza maswala mengi kulingana na uchaguzi nchini toka mwaka 2000 baada ya CCM kushinda ktk uchaguzi mkuu. Yapo mengi yaliyojitokeza na mengine kujirudia haswa pale...
Nikiwa mmoja wa vijana wakimapinduzi,nashawishika kulaumu japo sipashwi kulaumu. Kushindwa kwa kafu ni kushindwa kwa upinzani wote tz. Sababu ya kwanza ni udini. Sababu ya pili ni kuiponda CDM...
Katika pitapita yangu kwenye online newspapers nimegongana na hii habari, nikaona si vibaya kuiweka hapa tuipitie, maybe it has been discussed before but there is no harm if we can remind...
Wadau ni wazi kuwa watu wengi hawakujitokeza kupiga kura huko Igunga kwa kuogopa Bastora ya Rage na Maneno ya Mkama kuwa kuna makomandoo kutoka afghanistan,hata mimi sikwenda nilihofu mojawapo wa...
Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama...
Jana nilisikiliza mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Katibu Mkuu wa CCM Bw. Mukama na mtangazaji wa Magic FM (ni Sebbo kama sikosei) yakirushwa live na radio hiyo. Cha kushangaza jamaa alikuwa...
Mpaka sasa CCM wametuia yafuatayo ili kushinda igunga
1. Kumtumia rais mstaafu (Mkapa)
2.Usalama wa taifa
3.Polisi
4.Bakwata
5.Mawaziri
6.Rostam
7.kuhonga chakula kwa wanaigungai
8.Kuzuia...
Wanachadema poleni na hongereni. Wana Cuf poleni. CCM mhh ili chama kijijenge mlitakiwa mpoteze Kiti hicho.
Baada ya uchaguzi wa igunga sasa natoa mwito kwa wansasa na wenye nafasi za kiasa...
Na Nova Kambota Mwanaharakati,
Mara kwa mara huwa nasema tatizo kubwa la Tanzania yetu ni kupenda kupindisha ukweli, hii imetufanya kuwa watu tusiopenda kufikiri kiasi kwamba tunalambishwa kila...
Uchaguzi umemalizika Igunga na matokeo ndio hayo. Mimi nashauri CDM ijiandae kwa ajili ya 2015. Naamini Igunga itakuwa kama ilivyokuwa Biharamulo. Maandalizi pia yafanyike kwa ajili ya uchaguzi wa...
Wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kivuli cha kulima mashamba makubwa ,wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kuwapa sehemu za kati za utajiri wetu kwa kisingizio cha kutega uchumi ,wanawapa mbuga za...
Uchaguzi wa Jimbo la Igunga umemalizika J2 na mshindi kutangazwa jana 3 Oktoba,2011 na msimamizi wa Uchaguzi. Kwa kufanya tathmini ya haraka haraka tu baada ya Uchaguzi na matokeo kutangazwa...
Pamoja na ushindi wa CCM huko Igunga,mimi nimebaki na maswali haya:
1.Matumizi ya fedha yaliendana na taratibu za gharama za uchaguzi?
2.Polisi na Usalama wa Taifa walitenda haki sawa?
3.Viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.