CCM Chama Cha Waarabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Chama Cha Waarabu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jul 11, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kivuli cha kulima mashamba makubwa ,wanawarudisha kuhodhi ardhi kwa kuwapa sehemu za kati za utajiri wetu kwa kisingizio cha kutega uchumi ,wanawapa mbuga za wanyama kwa ajili ya kuwinda na kuwachukua wanyama hai kwa madazeni ,Kilimanjaro airport inatumika kikamilifu katika kusafirisha wanyama hai wa kila aina ,yaani utafikiri mbuga inahamishwa.Hakuna uwanja wa ndege unaotua midege mikubwa kama wa Kilimanjaro kwa ajili ya kusombea wanyama.

  Hawa CCM ndio wanaokaa wakidanganya wengine kuwa CUF inataka kurudisha waarabu ,kuna sehemu Zanziba wameshapewa Waitali na sehemu ingine wamepewa waarabu ,yote haya hufanywa na CCM ,ila watanganyika wakiambiwa CUF ni Chama cha waarabu utadhani wamefungwa shemere za pua na kuvutwa ,wanakubaliana bila ya kuhoji ,lakini sasa unafiki wa CCM unatokeza juu juu ,mwenye macho haambiwi tazama.
   
 2. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Labda tuseme kimegeuka kuwa chama cha kinyonyaji, kwani kinasheheni kuanzia mashariki ya mbali hadi magharibi ya mbali kuutoa bila mpango utajiri wa watanzania. Ukiishia kwa waarabu utakuwa umeipunguzi stahiki yake!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wewe ulitaka kulima ukanyimwa ardhi? mnataka wawekezaji wakija, ooh waarabu, mbona hamna mmoja anaesema wazungu wanaohodhi mbuga chungu nzima Tanzania, mashamba yote makubwa na mazuri ni ya wazungu. jee hayo hamuyaoni? mbona hamuhoji? kwa nini msiseme waIslam badala ya Waarabu? mnaficha nini? na huo ndio usongo wenyewe?
   
 4. M

  Masatu JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135


  Whats shemere?
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 11, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  umewahi kuona kile kichuma ng'ombe anafungwa puani kumfanya atii?
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 7. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sasa wewe unalinganisha wazungu na warabu,
  Mbona vijana wetu hawakimbilii arabuni wanakimbilia kwa hao wazungu.
  fujo zilipotokea pemba warabu waliwafuata hao wapemba kuwapeleka arabuni?
  Lakini uliona Wazungu waliwachukua wapemba na kuwapeleka Uzunguni kwani warabu hawakuona?

  Kwanini akuna warabu wenye asili ya kiafrika ? kwanini waafrika weusi waliopelekwa huko utumwani hawakuzaana? na kuongezeka kama kwa wazungu.
  Warabu na utajiri wao wa mafuta wanatuchangia sh ngapi ktk bajet yetu?
  Wazungu wanachanga sh ngapi?

  mnajua fika tunavyobaguliwa na hao ndugu zenu waarabu ni lini ulisikia mwarabu kaolewa na mweusi binafsi sijawahi kuona hicho kiloja ila Wazungu nimeshuudia ndoa kibao tu! Je utaniambia kuwa vijana wetu hawapendi kuoa wanawake weupe? nadhani hapo majibu unayo.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Jul 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Waswahili wanasema tembea uone usingoje kusimuliwa!

  [​IMG]
  Sheikh Adel ben Salem Al Kalbani
  Appointed Imam of Haram Mosque
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  speaking of waarabu...


  [​IMG]

  [​IMG]

  Saudi Prince Alwaleed buys his own A380 jumbo jet

  [​IMG]


  Saudi Prince Alwaleed buys his own A380 jumbo jet - USATODAY.com
   
 10. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  wewe umejuaje mambo haya?
  mie mtu wa mwambao na nilikuwa sijui duh!
   
 11. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  SASA utajuaje yakhe,wakati tulio wengi mwambaoni,kazi kucheza bao na kuoa wanawake wengi and life goes on
   
 12. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2009
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  GT Mwambao hawafugi ng'ombe watajuaje shemere?
   
 13. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe unaona bora wawekezaji wa kizungu kuliko kiarabu?

  Vijana wetu hawakimbilii uArabuni? labda hujatembelea nchi za kiarabu! waulize wenzako wanaopita pita Dubai kufanya biashara, ni nani wanaowatembeza Dubai wakiwa wageni? for your information, ni vijana wa hapahapa Tanzania. wamejaa uarabuni, tena nadhani ni wengi kuliko waliopo huko kwa wazungu.

  Huna habri kuwa asilimia kubwa ya wa Tanzania wana mashemeji au wajomba wa kiarabu? ni mwarabu yupi anaebaguwa Tanzania, labda wewe hutoki Tanzania hii ninayoishi mimi!

  Wazungu kuoa au kuolewa na wa Tanzania si kipimo cha kuridhisha, kwa hilo huna hoja, na hata tukichukuwa hilo bado namba ya wazungu wanao-owa au kuolewa na wa Tanzania ni ndogo sana ukilinganisha na waArabu wafanyao hivyo. Kama unabisha kawaulize wazee wako kama kweli u mTanzania basi waulize kama hauna waJomba au Mashemeji wa kiArabu!

  Hoja zako dhaifu, tafuta jingine!
   
 14. O

  Omr JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2009
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbuga na mashamba wanauziwa wenye pesa zao, serekali haitazami mwarabu wala mzungu, inatazama noti tu, Hata wewe unae jiona mzawa ungepata chance ya kuuza wanyama nje ungeuza wote. Mashirika ya umma, mbuga za wanyama,mashamba,yote yamefilisiwa na nani? Warabu? acha ubaguzi wewe, We unajua wazungu wangapi hapa bongo walio olewa na mzawa?
  Na hata kama mnapata msaada kutoka kwa wazungu je unajua masharti yake? Internet unayo mbona usisearch misaada inayo toka uarabuni? Je unajua kwamba Kuwait inatoa misaada mingapi Tanzania na je unajua kwamba Oman Imatoa Msaada wa bilioni 35 tsh mwaka huu pekeyake tena bila masharti yeyote. We pia kama unauwezo nenda kainvest uarabuni, hukatazwi.
   
 15. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Sehemu ya hotuba ya bajeti 2009/10 Waziri wa Fedha:Mheshimiwa Spika, napenda kuwatambua na kuwashukuru
  washirika wetu wote wa maendeleo kwa misaada yao ambayo
  imechangia mafanikio yetu katika sekta mbalimbali za uchumi
  wetu. Naomba niwataje mbele ya bunge lako tukufu kama
  ifuatavyo: Belgium, Canada, China, Denmark, United
  Kingdom, Finland, France, Germany, India, Ireland, Italy,
  Japan, South Korea, Kuwait, The Netherlanda, Norway, Spain,
  Sweden, Switzerland, United States of America, African
  Development Bank, BADEA, European Union, Global Funds,
  International Monetary Fund, Kuwait Fund, Nordic Fund, Opec
  Fund, Saudi Fund, United Nations Agencies na The World
  Bank. Tunawashukuru sana.
  MIKOPOstafa Mkullo :
   
 16. O

  Omr JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2009
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ukoloni mbaya sana, mpaka leo bado watanzania wengine wanaona hakuna mtu bora kama mzungu. Kwa habari yako wazungu ndio wanatumaliza. Mbona hujazungumzia machimbo ya almasi,dhahabu na tanzanite, kitu gani wewe wewe mlala hoi unachopata?
   
 17. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  ...Ila wana magari ya Ng'ombe na Punda
   
 18. C

  Calipso JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh! mwaka juzi nlisikia kuwa nchi za Afrika zilifanya mkutano Afrika kusini na nchi za kizungu ili kuwadai hao wazungu fidia ya Utumwa,nikashangaa kwanini wasiwadai waarabu kama tunavosema sisi waswahili,hapo ndio nikapata ile picha halisi wanaozungumza wazee wetu kuwa utumwa ulifanywa na wazungu sio waarabu, na ndo mana wazungu wana jikosha ktk nchi zetu za kiAfrika lkn hapo hapo ktk kufatilia nikagundua bado hawa wazungu ndio wanatumaliza kulio walivotufanya watumwa,kwani kwa jinsi wanavochuku mali zetu siku zote na ushahidi upo wazi kabisa,lkn hapo hapo nikagundua hata ile misaada wanayotupa ina faida kubwa kwao kuliko kwetu,na hasa ukiangalia ina masharti makubwa saana.. kwa kweli na huko znz ninavojua ni hao ccm ndio wanajikusanyia mali,na hapo hapo mimi nina marafiki zangu wawili wa kiarabu wamechukuliwa mashamba yao na serikali hii ya Amani karume,na wamejaribu kudai hakki yao wamegonga ukuta,hao wawili ninaowajua sijui nisiowajua wangapi? Dhana ya uarabu inaletwa na wazungu ili kujificha wao kwa uchafu wao..
  Cuf ni ya wananch wa Tz na ccm ni ya mafisadi wa Tz..
   
 19. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nikikusaidia waarabu hawakufanya biashara ya utumwa ila walikuwa na soko la watumwa ,kwaana soko la kariakoo ni la serikali lakini huwezi kusema serikali inauza mboga.
  Kununua ,kumiliki,kuuza ni mambo tofauti sana. La kujiuliza watumwa wakipelekwa na nani hapo sokoni Unguja ?
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Soko na jela ya watumwa Unguja iko ndani ya Kanisa, ulishajiuliza ilifikaje? na Jee haujawahi kusikia Kanisa likikiri biashara ya utumwa na kuomba msamaha baada ya miaka mingi kupita? Au hayo makanisa ni ya waArabu?
   
Loading...