Wengi hawajajitokeza kupiga kura Igunga kwa Kuogopa Propoganda za CCM

OMEGA

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
693
300
Wadau ni wazi kuwa watu wengi hawakujitokeza kupiga kura huko Igunga kwa kuogopa Bastora ya Rage na Maneno ya Mkama kuwa kuna makomandoo kutoka afghanistan,hata mimi sikwenda nilihofu mojawapo wa makomandoo wa CHADEMA anaweza kujitoa muhanga
 

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
walinunua shahada zao kwa kukubaliana nao (implied) soon after election watawarudishia shahada zao! eti wana pesa, so watanunua na si kuleta maendeleo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom