Ccm na siasa za uchwara chadema na ukombozi wa utanzania

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
713
331
kwa kila Mtanzania aliyesoma na mwenye uwezo wa kufikiri na kukosoa atahukumiwa kwa kukisifiasifia CCM. Hawa hawapo kitaifa ila kimaslahi!!!.

Kuna jamaa aliyekua kilaza wakati wa chuo nasikia sasa ni kiongozi wa vijana kule Kilimanjaro. Hii inaashiria hiki chama hakina hazina ya kupambana na changamoto za kijamii na mahitaji yake kwa ujumla.

Igunga CCM inaongoza wapinzani.Ukweli ni kwamba wanaoongozwa ni wachache kuliko wanaopinga utawala wa Igunga.

CHADEMA lazima wajivunie mafanikio kwani ukweli CCM wanatumia nguvu ya dola na takrima nyingi ikiwa ni pamoja na BAKWATA na CUF.

uCHAMBUZI WA FIKRA HURU HAUWEZI KUTOA maoni rafiki kwa CCM kutokana na hali halisi iliyoonekana huko Igunga.Uchambuzi wa maendeleo pia hauwezi kutoa maksi tano kwa utawala wa CCM huko Igunga on specific social transormation!!! Tambua CCM pia ni chama kisichokua na tija za siasa rafiki kwa watu wake zaidi ya kutumia umaskini wa Watanzania kwa kutoa kanga,kofia,leso chakula na pombe kwa walengwa. Tambua nafasi ya Tanzania kiuchumi hapa duniani chini ya mfumo wa uongozi wa CCM. nACHEFUKA PIA KUANDIKA JINA ccm kutokana uvivu katika uwajibikaji na usimamizi wa rasilimali za Taifa hili. tafakari juu ya ya kodi ya moja kwa moja na kodi kupitia huduma kama kweli unachukua risiti za mashine ya TRA kwenye maduka ya huduma na bidhaa jumlisha na makato ya kodi afu aungalie watu 100,000 kama wewe wanaolipa kodi hivyo hivyo kwa mapato yako kama hautakimaha hicho chama kwa propaganda za CCM. iNASIKITISHA PIA KUONA WATANZANIA WANADANGANYWA KWA ujenzi wa Miundo mbinu afu angalia tuu pato la ndani na matumizi yao!!!!
Nathani tusingekua na haja ya kukiunga mkono hiki chama.


' try and take action for your own decision for Political transformation in ur area and Tanzania in general' Usidanganyike kijinga and if so some of u are litteracy in Economics, let me update u'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom