Maswali baada ya uchaguzi mdogo Igunga

Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
24,660
5,411
Pamoja na ushindi wa CCM huko Igunga,mimi nimebaki na maswali haya:
1.Matumizi ya fedha yaliendana na taratibu za gharama za uchaguzi?
2.Polisi na Usalama wa Taifa walitenda haki sawa?
3.Viongozi wa kiserikali walioshiriki kampeni walitumia gharama na muda wa nani?
4.Demokrasia ilitendeka?
5.Ni kwa nini katika chaguzi watu chi ya 50% tu ndio wanajitokeza kupiga kura?
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,536
5,642
Majibu ya maswali yote ni "HAPANA".
Haya yote ni kutokana na ubovu wa katiba yetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom