Hii ni HATARI kwa CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni HATARI kwa CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee, Oct 5, 2011.

 1. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nafatilia post nyingi, na pia nimejaribu kuzungumza na watu kadhaa wanaonizunguka, kuanzia ofisini mpaka mtaani.
  Nilichojifunza ni kwamba, unapojaribu kukikosoa Chadema unaonekana kama umetenda dhambi.

  Unapojaribu kumkosoa Mbowe, Slaa n.k unaonekana we si mzalendo wa nchi hii. Inaonekana kama wazalendo wote wanakisifia Chadema.
  Chadema kama chama kinaongozwa na binadamu kama wa ccm. Wanamapungufu yao pia kama waliyonayo ccm.
  Kama unaogopa kukosolewa na kurekebishwa kamwe hautojifunza. Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa. "when think alike, no one is thinking"


  NB. Nipo tayari kurekebishwa.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Chadema tubadilike, tukubali kurekebishwa.
  Aaah, kumbe na wewe ni Chadema?
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,848
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Hatuhitaji kukurekebisha sana ni kukujulisha kwamba, tumenyanyaswa kwa muda mrefu na CCM , tumedhalilishwa sana na CCM, tumeibiwa sana na CCM, tumefungwa sana na CCM na sasa tumepata mkombozi wa kutpeleka nchi ya ahadi TANGANYIKA.

  CDM ndiyo musa wetu wa kuttoa Misri na kutupeleka Nchi ya ahadi yenye Madini na ardhi yenye rutuba , nchi yenye mbuga za wanyama wa kila aina na nchi ya watu wakalimu.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,412
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Umenena Mkuu !
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Ina tegemea unakosoa nini, wakati gani na kwa kutumia lugha na maneno ya namna gani, hakuna mtu ambaye hapendi kupata ushauri ila ukiingia na abusing words my friend lazima watu wakushughulikie masaburi.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Acha kujihisi mnyonge kwa Wana-CHADEMA na kuanza kuzungura ovyo mbuyu bila kueleweka hata nukta kwenye huu uzi wako. Kama vipi wewe katambae tu na CCM yako ya siku zote inayokumegea ufisadi siku zote nchini.

   
 7. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45

  Hebu tuorodheshee mapungufu unayodhani niya CHADEMA, Slaa na Mbowe nasi tuone kama ukosoaji wako uko sahihi au la. Pia kama watu kadhaa wanaokuzunguka (sijui idadi ila kama ni wengi) wanapingana nawewe unaweza ukajitathimini mwenyewe labda fasfri yako ya mapungufu ya CHADEMA si sahihi
   
 8. brightrich

  brightrich Senior Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli mimi namuunga mkono Lu-ma-ga kuwa CCM wametunyanyasa vya kutosha, inabidi waachie ngazi wapishe wengine watuongoze, ukiangalia mafisadi, wa mali za watanzania wote wametokea CCM, hivi watatunyonya hivi hadi lini? Hata hayati baba wa Taifa leo angepata fursa ya kuamka kutoka mautini na kuiona Tanzania nahisi angetokwa na machozi. Viongozi hawatujali sisi watanzania, wanajali maslahi yao na familia zao. Tutakuwa WADANGANYIKA mpaka lini? :sleepy:
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Umesema vyema sana mkuu na mie naongezea kwamba hawa wanaokuwa wakali si wote ni wanachama wa Chadema wala wapenzi wa Chadema ila ni Watanzania wanaopenda mabadiliko kaka na wala si viongozi wa Chadema so usiseme Chadema hawapendi.Zingatia mno ushauri wa huyu Mwamba FUSO.
   
 10. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tupopamoja, big up.
   
 11. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Walio2mwa humu hutaacha kuwatambua mapema ktk thread zao. Endeleeni tu na bila mwisho wenu si mbali hata kidogo.
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu, CHADEMA hakitaki kukosolewa/kubadilika au washabiki ndani ya mitandao ambao hawataki kukubali mawazo ya watu wanaofikiri kwamba CHADEMA inahitaji mabadiliko?

  Sasa mkuu, hebu tuambie, kuna watu walikuja na mapendekezi kwamba Mbowe hawezi kuwa Mwenyekitii, je, utaratiu gani utumike kumuondoa? n je aondolewe kwa sababu gani? inatosha mtu mmoja 'kufikiri' kwamba Mbowe hafai? Inatosha mnazi mmoja wa 'Zitto' kuamua kwamba Slaa hafai kuwa Katibu??

  Siasa sio rahisi kama inavyoonekana mkuu.
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ngoja nami nijaribu kuorodhesha mapungufu ya CHADEMA yetu:
  -Mtandao hafifu wa kichama.
  -Mashabiki wengi kuliko wanachama ambao hata kadi za kupiga kura hawana.
  -Wanachama wenye jazba, hasira na munkar kupita kiasi. Hijab ya yule DC Fatma imewagharimu kura nyingi tu.
  -Mawakala wa kukodi wa nini? Kura zinapigwa na wanaIgunga. CHADEMA haiwaamini hawa.
  -Hawakuwaambia wanaIgunga kilichosababisha uchaguzi ule mdogo kuwa ni CCM na magamba yake.
  -CHADEMA na Viongozi wake kung'ang'ania agenda zilezile kila mahala.
  -CHADEMA haijajitofautisha na CCM kwa mambo mengi tu.
   
 14. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Kwa kuongezea nchi isiyokuwa na wezi, corruption free state. Kenya wanaelekea huko Tanzania tunahitaji kuiga na kujifunza !!!!!! Kuna watu nawachukia ambao wanasema kuwa rushwa haiwezi kuisha Tanzania!!!! Watu hao nadhani ni mawakala wa CCM wajue kabisa zao zimefika, kila aliye dhulumu au kuiba mali ya nchi hii, atairudisha na riba au ataozea magereza!!!!!!!!! Huo ni ujumbe tunawapa mawakala wa CCM naona ni wengi hapa jamvini!!!!!!!!!!!
   
 15. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Inashangaza kuwa wewe upo tayari kurekebishwa lakini unaone kuwa wale wanaowakosoa Chadema wanaporekebishwa hilo ni kosa. naamini kuwa kila mtu anayetoa maoni, ana haki ya kufanya hivyo na ni wajibu wake kujenga hoja ili maoni yake yaonekane kuwa yana mashiko. Mkuu, nadhani unafahamu kwua hii si dunia ya ndio m\ee, hivyo, kama unataka kumkosoa mtu, lazima uwe na hija zenye mashiko ili uaminike kile unachokisema.

  Sitetei kwua Chadema au viongozi wake hawapaswi kukosolewa, lakini anayetaka kufanya hivyo awe na hoja zente mashiko. kama ikitiokea mtu anatoa hoja zenye mashiko halafy anabishiwa tu kwa sababu mtu amezoea kubisha, basi ni kweli huyo anayebisha atakuwa ana matatizo. Na hiyo si katika kuikosoa Chadema tu, ni katika kila jambo. kama unataka kukosoa jenga hoja
   
 16. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  ujue viongozi wa chadema ni wasikivu pia wanakubali kurekebishwa,angalia Zitto kipindi fulani alionekana kwenda kinyume na mtazamo na maazimio ya chama lakini kutokana na ushauri ndani na nje ya chama kijana amebadilika na kuwa jembe kali bungeni na kila pahali,kila sehemu ukimtaja Zito watu wanajua umemtaja mtetezi wa wanyonge,lakini nyie mnayeleta majungu ya kukiua chama kwa kigezo cha ushauri hilo haliwezekani.
   
 17. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ambayo ni Tanganyika ya kweli!good
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mtu unazungumza kama vile kila mmoja anajua CDM wanahitaji mabadiliko gani. Kinachokuzua kusema hayo mabadiliko ni nini? Your subconscious tells you that CDM is wrong somewhere because of the long time magamba picture in your forehead. Remove that magamba picture first then insert CDM picture and come out with constructive suggestion as to what should be done , where and when, otherwise everyone can bilker in this forum as much as she/he can manage with no impact at all.
   
 19. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,889
  Trophy Points: 280
  Weka hapa iyo kitu yako unayoona imekosewa.
   
 20. V

  Victim Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  I hope that this is understood by one and all.
   
Loading...