Yuko Wapi Mzee Ndesa??

beko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
200
225
Jamani sijamsikia mzee Ndesamburo siku nyingi, kwenye bunge lililopita sikumuona, je alihudhuria?. Huyu mzee alinifurahisa sana wakati wa kashfa ya lowasa pale alipokua akichangia mada akasema bila kutafuna maneno kuwa ingekua ni kule China Lowasa angetakiwa anyongwe. Mwenye taarifa zake jamani tujulishane. peoples power!!!!!!!!!!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom