MUKAMA kufanya mahojiano Magic FM radio kuanzia saa kumi jioni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MUKAMA kufanya mahojiano Magic FM radio kuanzia saa kumi jioni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NnyaMbwate, Oct 5, 2011.

 1. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,401
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Jana nilisikiliza mazungumzo kwa njia ya simu kati ya Katibu Mkuu wa CCM Bw. Mukama na mtangazaji wa Magic FM (ni Sebbo kama sikosei) yakirushwa live na radio hiyo. Cha kushangaza jamaa alikuwa anauliza kishabiki na Mukama naye akawa anawaponda karibu viongozi wote wa CDM kuwa hawana sifa za uongozi na kuwa ni watu wasioheshimika kwa hulka zao. Kwa kauli yake, Mukama akamwomba mtangazaji atafute muda ili wafanye mazungumzo wakiwa "relaxed" ili awafahamishe watanzania mambo yanayohusiana na uchaguzi wa Igunga.

  Nadhani si vibaya kwa watakaokuwa na nafasi kufungulia radio zao kumsikia bwana mkubwa wa CCM akibwabwaja! kupita 92.9 FM

  Nawasilisha
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Aina hii ya waandishi Wa habari kuhoji kidhabiki ndio wanaozidi kuwafanya Watanzania waendelee kuwa wapumbavu.Ni bora wawe wanapiga tu mziki sababu hata namna ya kuwabana wanaowahoji hawawezi au ni waoga au wanatumika pia kisiasa
   
 3. K

  King kingo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  HUyo sebbo ni Mtanzania au???
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ni bora nikasikilize taarabu za MSAGA SUMU tandale
   
 5. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Msikilize utajifunza kitu, hata vichaa huskilizwa na kuachwa waendelee na vioja vyao.
   
Loading...