Katika hali isiyo ya kawaida waziri wa nchi uratibu na bunge William Lukuvi jana alikwepa kutoa msaada kwa majeruhi wawili waliojeruhiwa vibaya katika ajali ya gari na pikipiki eneo la coco beach...
Jana rafiki zetu wa nchi jirani ya kenya walikua wakisherehekea sikukuu ya Mashujaa waliopigania ukombozi na hatimaye kufanikiwa kulipatia uhuru taifa hilo kutoka mikokononi mwa mkoloni.Mashujua...
Orodha iliyotolewa jana na shirika moja la utafiti juu ya rushwa . imeonyesha jeshi la polisi ndio kinara wa rushwa, Uganda ikiongoza, ikifuatiwa na Burundi huku Tanzania ikiwa ya tatu kwa rushwa...
Naomba Great Thinkers, mnisaidie na mjadili hasa Watanzania Agenda yetu kuu ni nini ?
Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu naona mijadala mingi ya kisiasa na kiuchumi inaelekezwa kwenye uchaguzi wa...
Mtakumbuka kuwa hivi karibuni mh.Edward lowassa aliitisha mkutano na waandishi wa habari kijijini kwake Ngarash-Monduli,pamoja na mambo mengine alizungumzia masuala mbalimbali ikiwemo siasa,uchumi...
...Mwinyi mwaka 1985 ulipoingia ulikuta BoT kumekauka hakuna hazina ukaanzisha utaratibu wa kununua Gold ili kuwa hazina ya Taifa
...Ulikuta watu wako hawana nguo, vyombo, TV, (maisha ya kijima)...
Kauli ya mkuu wa mkoa wa zamani stephen mashishanga kuropoka ccm wamfukuze uanachama mh sabodo umethibitisha mpasuko ndan ya chama hicho..badala ya kuungwa mkono na wabunge wengi wamemgeuka na...
TUESDAY, OCTOBER 18, 2011
MASHITAKA 8 KATI YA 9 'TUPA KULE' KESI YA KUPINGA MATOKEO ILEMELA, KESI YAHAIRISHWA WALALAMIKAJI WAINGIA MITINI
Wakili Tundu Lisu akitoa maelezo ya mwenendo wa kesi...
Katika kipindi maalum kilichoandaliwa na udsm kwa miaka 50 ya udsm, raisi wetu kasema yupo hivyo alivyo kwa sababu ya udsm.
Kwa maana nyingine yeye na utendaji wake ni reflection ya product ya...
na Mwandishi wetu
MKURUGENZI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amekishambulia tena Chama Cha Mapinduzi (CCM), safari hii akidai kutofurahishwa na ushindi wa kiti cha ubunge wa...
Nimekuwa nikijiuliza sana sisi watanzania na hasa wanamageuzi nini hasa tunachokitaka nikakosa jibu. Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza Bunge lililopita likiwa na mvuto wa hali ya juu pale ambapo...
Kwa mtazamo wangu, UDSM katika miaka 50 ya uhai wake - kwa makusudi au kwa bahati mbaya - imezalisha generation ya wasomi na watawala/wanasiasa wenye fikira na vitendo vya KIFISADI. Haya ndio...
Wadau! hizi ni habari za kweli na za uhakika. Aliyekuwa Meneja Utawala wa BOT Bw. Amatusi Lyumba anakusudia kuingia kwenye siasa! Lengo lake ni kujiunga na Vyama vya TLP au NCCR Maegeuzi. Habari...
Ukiangalia kwa undani sana utagundua Watanzania tuna feli kwa kila eneo, sasa labda we unafikiri wewe kama Kijana wa Kitanzania mwenye uchu na Maendeleo unashauri nini katika sector zifuatazi?
1...
Mwanasheria wa Chadema na Mwanaharakati Mh Tundu Lissu anaunguruma kesho kwenye viwanja vya Magomeni kata ya Kirumba wilayani Nyamagana katika mkoa wa Mwanza kesho alasiri baada ya kutoka kumtetea...
Na Grace Ndossa
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema hakuna sababu ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa, kukaripia vyombo vya
habari na madai ya kuwaonea huruma Watanzania na kuwalaumu...
Wakati wa Kampeni za Uchaguzi mkuu Mwaka Jana DR SLAA alijitokeza na kuwa
kama Mwanga Mpya kwenye maisha yangu hasa kwa ahadi yake ya kuhakikisha
anashusha gharama ya vifaa vya ujenzi ili kila...
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha ni pale mwenyekiti wa tume ndogo ya LAAC iliyokwenda kuchunguza mgogoro wa halmashauri ya wilaya ya kondoa bwana Joseph Selasini mbunge wa Rombo(CDM)...
Kwanza nikupongeze kwa kuufukua huo uozo huko Kondoa;;
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imependekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Isdori Mwalongo ambaye kwa...
Katika mchakato wa kuijadili Katiba mpya ni muhimu kuzingatia vitu muhimu kwa mustakabari wa Nchi yetu na sio kuvutwa hisia na wanasiasa wa chama tawala na vyama vya upinzani.
KWA MAONI YANGU...