Katiba mpya

bigboss

New Member
Oct 16, 2011
3
0
Katika mchakato wa kuijadili Katiba mpya ni muhimu kuzingatia vitu muhimu kwa mustakabari wa Nchi yetu na sio kuvutwa hisia na wanasiasa wa chama tawala na vyama vya upinzani.

KWA MAONI YANGU MCHAKATO WA KUUNDWA KATIBA MPYA NI MUHIMU TUKAZINGATIA HAYA YAFUATAYO;

1.KUAINISHA MAMBO MUHIMU YALIYOPO KWENYE KATIBA YA ZAMANI.

2.KUJADILI NAFASI YA ZANZIBAR ZINGATIO LIKIWA NI MUUNDO WA MUUNGANO NA UJUMUISHO WA KATIBA YA ZANZIBAR ILIYOPO.

3.HAKI YA WATANZANIA NDANI YA TANZANIA,Mfano,Ardhi,maliasili,elimu,kuchaguliwa na kuchagua,haki za wazee,watoto na wanawake,nk

4.Madaraka ya Rais.Viongozi wanaochaguliwa na Rais na Rais kushitakiwa akiwa madarakani au baada ya kumaliza kipindi chake.

5.Tanzania kugawiwa katika majimbo.Serikali kuu isimamie majmbo ambayo viongozi wake wakuu wawe magavana waliochaguliwa.

6.NA HAYO AMBAYO WEWE UNAFIKIRI NI MUHIMU.
 
Badilisha hiyo rangi ya text kwanza maana inatutisha alafu ukishafanya hivyo nitakwambia ni kwa nini katiba mpya ifute mfumo wa vyeo vya wakuu wa wilaya na mikoa
 
Back
Top Bottom