CHADEMA sasa mnasikitisha, nahisi mmeshakuwa CCM F

Ledio

Member
Jun 15, 2011
30
2
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha ni pale mwenyekiti wa tume ndogo ya LAAC iliyokwenda kuchunguza mgogoro wa halmashauri ya wilaya ya kondoa bwana Joseph Selasini mbunge wa Rombo(CDM) alipoamua kumficha Afisa wa Tamisemi ambaye ndiye aliyebariki wizi wa Tsh 72m huku akishirikiana na DT wa halmashauri hiyo. Mhe Joseph Selasin alisema wamembaini Afisa huyo Tamisemi lkn hayuko tayari kumtaja ila anamwomba aache mara moja tabia yake hiyo. Sasa jamani huku si kulinda mafisadi kama wafanyavyo CCM au Cdm nayo imeshaolewa kama CUF.
 
Umesha ingiza siku kaka .Yaani kweli Chadema wanaweza kufanya haya mambo ? Selasini anaujua moto wa Chadema anaweza kweli kuuficha ukweli ? wacha ningoje taarifa zaidi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom