Amatus Liyumba kujiunga na TLP au NCCR Mageuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amatus Liyumba kujiunga na TLP au NCCR Mageuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIRING'OTI, Oct 21, 2011.

 1. KIRING'OTI

  KIRING'OTI Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau! hizi ni habari za kweli na za uhakika. Aliyekuwa Meneja Utawala wa BOT Bw. Amatusi Lyumba anakusudia kuingia kwenye siasa! Lengo lake ni kujiunga na Vyama vya TLP au NCCR Maegeuzi. Habari zaidi zilizotokana na rafiki yake wa Karibu zinasema kuwa alikuwa anafikiria sana kujiunga na CDM lakini CDM hao ndio walipomfikisha hapo kutokana na VUVUZELA lao lilikuwa na kauli mbiu kupambana na Ufisadi. Pia Kujiunga na Vyama hivyo kunatokana na kuwa vyama hivyo sio maarufu hivyo ana nyenzo za kutosha zitakazowezesha Vyama hivyo kupata Umaarufu kwa mtindo wa kulipua mabomu ya Ufisadi." Unajua ukichunguza sana hata CCM nao wanalipua mabomu ingawa si kwa kama Chadema, Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa CCM wanalipuana ili nacho kionekane kimeanza kujisafisha lakini all in all wanaimba wimbo wa wenzao(CDM)ili kuficha matatizo makubwa sana wanayoigawia nchi hii" alimalizia Lyumba akiongea na Marafiki zake pale Hyton Motel Sinza Makaburini.
  Source: mimi mwenyewe
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  puuuuuuuuuuuuuuuuufffffffffffffffff,MODERATOR TOAAAA HIIIIIIIIIII JAMANI HUYU MZEE WA STULI NDEFU NA JOLLY CLUB AJE KWA SIASAAAAAAAAA;;UUUUUUUUUUUUU TUTAKUWA TUMEINGILIWA KWA KWELIIIIIII TOA HUU UPUUUUUUUUUZZZZZZZZZZZIIIIIIIIII HAPAAAAAAAAAAAAAA NASEMA TOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
Loading...