Agenda kuu ya watanzania !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Agenda kuu ya watanzania !!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matango, Oct 21, 2011.

 1. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naomba Great Thinkers, mnisaidie na mjadili hasa Watanzania Agenda yetu kuu ni nini ?

  Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu naona mijadala mingi ya kisiasa na kiuchumi inaelekezwa kwenye uchaguzi wa 2015.

  Mwaka huu unamalizika, kipi tulichafanikiwa kama Watanzania ?

  Mwaka 2012 Tutakuwa na lini ?

  Mwaka 2013 Tutakuwa na lipi ?

  Mwaka 2014 Tutakuwa na Lini ?

  Watoto wanazaliwa.

  Walioko shuleni na vyuoni wanahitimu.

  Hivi wale maadui wa enzi na enzi tumewasahau ? Ujinga, Umaskini na Maradhi ?

  Na sasa wamejitokeza maadui wengine UDINI, UKABILA, UBAGUZI na UMAJIMBO.

  Agenda yetu kuu ni nini ?
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Unajua watu wakiishiwa bwana , zile nyimbo zao hazijafanikiwa sasa wafanye nini kama siyo majungu. kuna kulala mpaka kieleweke, peples poor, Slaa ni Mzinzi, Mbowe ni Mkwe wa Mtei, Tindu Lissu ni Chizi, Halima Mdee ni Teja. Hivi hiyo sera yao kwenye maandishi mekundu hayo hapo juu ikikubalika nani atakuwa GAVANA wa Jimbo la Kaskazini, SLAA, MKWE mwenyewe, BABA MKWE au NDESA ebwanae hivi huyu jamaa yupo hata mwanae O simsikii siku hizi.
   
Loading...