Nini tunaweza kukifanya ili kuiletea Nchi yetu neema katika sector zifuatazo?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Ukiangalia kwa undani sana utagundua Watanzania tuna feli kwa kila eneo, sasa labda we unafikiri wewe kama Kijana wa Kitanzania mwenye uchu na Maendeleo unashauri nini katika sector zifuatazi?

1. habari, Utamaduni na Michezi
2. Ajira kwa vijana
3. Ulinzi na Usalama
4. Miundo mbinu
5. Utawala Bora
6. Siasa
7. Elimu ya juu

Nafikiri hapo nitakuwa nimegusa katika kila sector inayo sumbua hapa nchini nahitaji maoni yako na wewe useme wapi pana ikwaza selikali yetu
 
ni kuondoa ccm madarakani either kwa kura au maandamano kabla ya kuishia uasi
 
ni kuondoa ccm madarakani either kwa kura au maandamano kabla ya kuishia uasi

Naunga mkono. Cha kwanza ni kuondoa utawala dhalimu wa CCM madarakani kwa kura 2015. Lakini mpaka tufike hiyo 2015 cha moto tutakiona.
 
Back
Top Bottom